Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
ndio maana nataka kuelewa hapo,Hao wanaotangaza kugombea watapitishwa na vikao vipi vya CHADEMA?
Fom zao zitasainiwa na nani kabla ya kupelekwa Tume au kwa Msimamizi wa jimbo la uchaguzi husika?
Au kitakachofanyika ni tiayies kusaini fom kwa kugushi sain ya John kama ilivyofanyika kwa wale covid 19?
kwamba,
je waliotangaza kugombea wanayo ofisi na mamalaka ya kupata kibali cha chama kuhusu kugombea kwao, kwakua ndani ya chadema kuna mgawanyiko ama laaa?
gentleman,
hizi sio dalili za kuelekea kwa aina ya wagombea urais, ubunge na udiwani kama wale wa covid-19 ambao mpaka leo wanapambana na chadema mahakamani?
