Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Huu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu tu ambao ndiyo waasisi wa No reforms No election.huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda
Watanzania wapi? Labda nyumbu kama wewe! Umeenda kumwona Mwenyekiti wako mahabusu?Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Hilo takataka nasikia eti ni miongoni mwa wagonga meza pale Dodoma, kama ni kweli ndio maana msishangae bandari iliuzwa na mkataba ulipitishwa kwa kura nyingi sababu vilaza nao ni wengi ila wanaitwa waheshimiwa.Huu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu tu ambao ndiyo waasisi wa No reforms No election.
kuwatenga wananchi na michakato ya kidemokrasia ni kitu nonsense kabisa gentleman, pamoja na vibaka fyatu saikolojikali na matepeli wengine wa kisiasa nchiniHuu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu tu ambao ndiyo waasisi wa No reforms No election.
Huo ndio ukweliBaada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Ukisema nyumbu unamaanisha mnyama. Sasa ukiwa na akili timamu unaweza kuamini mnyama ana uwezo wa kuandika kama Mimi nilivyoandika?Watanzania wapi? Labda nyumbu kama wewe! Umeenda kumwona Mwenyekiti wako mahabusu?
😅😅😅mchaneUkisema nyumbu unamaanisha mnyama. Sasa ukiwa na akili timamu unaweza kuamini mnyama ana uwezo wa kuandika kama Mimi nilivyoandika?
Huu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu pekee!
Siyo kila mwananchi ana akili timamu. Huu mjadala ni kwa ajili ya watanzania wenye akili timamu peke yao.kuwatenga wananchi na michakato ya kidemokrasia ni kitu nonsense kabisa gentleman.
👍Siyo kila mwananchi ana akili timamu. Huu mjadala ni kwa ajili ya watanzania wenye akili timamu peke yao.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Ni mjadala wa watu wasiokuwa na akili timamu wanaofikiria kama yule mnyama nyumbu. Nafikiri sasa utakuwa umeelewa maana yangu.Siyo kila mwananchi ana akili timamu. Huu mjadala ni kwa ajili ya watanzania wenye akili timamu peke yao.
dhihaka kama hizo zimewatesa sana vyama vya siasa nchini na bado mpaka leo kuna vyama vya siasa hususan chadema wanateseka na kauli za dhihaka kama hizo kwa wananchi na waTanzania wapiga kura.Siyo kila mwananchi ana akili timamu. Huu mjadala ni kwa ajili ya watanzania wenye akili timamu peke yao.
Mtaelewa tuNi mjadala wa watu wasiokuwa na akili timamu wanaofikiria kama yule mnyama nyumbu. Nafikiri sasa utakuwa umeelewa maana yangu.
Katika nyumbu na wewe ni miongoni mwao sishangai comment yako hiyo. Nyumbu katika ubora wake!Hilo takataka nasikia eti ni miongoni mwa wagonga meza pale Dodoma, kama ni kweli ndio maana msishangae bandari iliuzwa na mkataba ulipitishwa kwa kura nyingi sababu vilaza nao ni wengi ila wanaitwa waheshimiwa.
Mimi nilishalipeleka ignore list.
no reforms no election👿Ukisema nyumbu unamaanisha mnyama. Sasa ukiwa na akili timamu unaweza kuamini mnyama ana uwezo wa kuandika kama Mimi nilivyoandika?
Huu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu pekee!
Ccm mkubali tu mlishafeli big timeKatika nyumbu na wewe ni miongoni mwao sishangai comment yako hiyo. Nyumbu katika ubora wake!
Wewe umeshawahi kuwa mnyama nyumbu hadi ujue jinsi nyumbu wanavyofikiri!?Ni mjadala wa watu wasiokuwa na akili timamu wanaofikiria kama yule mnyama nyumbu.