ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wewe unajua?Maana maelezo yako yanaonesha hujui tofauti kati ya Dola na uhuni dhidi ya watu wengine!
Wewe unajua?Maana maelezo yako yanaonesha hujui tofauti kati ya Dola na uhuni dhidi ya watu wengine!
Chadomo andamaneni mkamtoe Mwenyekiti wenu ,mbona mumemtelekeza?Hapa pia utimamu wa akili zako ni wa kutiliwa shaka!!
Hii hoja inatakiwa kujadiliwa na watanzania wenye akili timamu ambao ndiyo wenye hoja yao.
Halafu wewe sidhani kama hii mada inakufaa. Maana kama hujui maana ya dola unawezaje kujua kuwa watanzania wenye akili timamu wanataka No reforms No Election!Wewe unajua?
Kama waataka mbona hawaendi kumtoa kinara wao huko.polisi? Mtapata Kwa kuibembeleza CCM? 😂😂Halafu wewe sidhani kama hii mada inakufaa. Maana hata kama hujui maana ya dola unawezaje kujua kama watanzania wenye akili timamu wanataka No reforms No Election!
Nchi ya democracia mambo yote yanaenda kidemokrasia wacheni ujinga wakutumia vyombo vya dola ili mbaki madarakani mbona hizo nchi za kidemokrasia haitumiki nguvu kama mnavyotumia nyinyi kuwadhibiti wapinzani wao? Ujinga unaowewe unaeona kushindana nikutumia dola ili mbali madarakani.Kwa eanamiliki Dola ya nini Sasa?. Wewe ni mjinga mmja.
Sasa mnapambana kushika Dola ili iwaje?
Hapo pia utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.Kama waataka mbona hawaendi kumtoa kinara wao huko.polisi? Mtapata Kwa kuibembeleza CCM? 😂😂
We bwege huo ni urojo wenu hakuna mtanzania amewatuma nyumbu nyie, sisi tuna wawakilishi wetu bungeni.Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Sasa nawe lini umekuwa na akili timamu, shida yako una udumavu wa lishe, zero brain kabisaHuu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu tu ambao ndiyo waasisi wa No reforms No election.
Takataka mamako aliyeruhusu mimba yakoHilo takataka nasikia eti ni miongoni mwa wagonga meza pale Dodoma, kama ni kweli ndio maana msishangae bandari iliuzwa na mkataba ulipitishwa kwa kura nyingi sababu vilaza nao ni wengi ila wanaitwa waheshimiwa.
Mimi nilishalipeleka ignore list.
Tabia za nyumbu watu wenye akili wanazijua we huwezi maana ni miongoni mwaoWewe umeshawahi kuwa mnyama nyumbu hadi ujue jinsi nyumbu wanavyofikiri!?
Usilinganishe hiyo takataka na stateman km Mandela, ukomeHapo pia utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.
Mandela alikaa miaka 27 jela, jee kutokutolewa kwake jela kuliifanya ANC kuwa imetelekeza lengo lake la kuwatoa makaburu madarakani?
Lissu alisema hatanyamaza akiwa amefungwa. Kwa ivo kukamatwa kwake siyo habari!
Kitendo cha kuandika "km" bila kueleweka ulitaka kumaanisha nini na kuandika stateman bila ya kuweka fungua na funga semi, na hilo neno "ukome" ulilomalizia nalo andiko lako, inaonesha dhahiri kuwa hili bandiko halikuhusu KABISA.Usilinganishe hiyo takataka na stateman km Mandela, ukome
Wakati mwingine uwe unakaa kimya wenye akili wakijadili mambo ya maana.huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu
Wale walikuwa ni Wazungu ,CCM ni Wazungu?Hapo pia utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.
Mandela alikaa miaka 27 jela, jee kutokutolewa kwake jela kuliifanya ANC kuwa imetelekeza lengo lake la kuwatoa makaburu madarakani?
Lissu alisema hatanyamaza akiwa amefungwa. Kwa ivo kukamatwa kwake siyo habari!
Wale walikuwa makaburu weupe, hao wa sasa ni makaburu weusi.Wale walikuwa ni Wazungu ,CCM ni Wazungu?
Ukiwa na utimamu wa akili utajua wakati mwingine binadamu hutumia mifano ili waelewane!Wale walikuwa ni Wazungu ,CCM ni Wazungu?
Kwa nyie wahuni lazima mshughuliweUkiwa na utimamu wa akili utajua wakati mwingine binadamu hutumia mifano ili waelewane!
CCM siyo wazungu ila wana tabia ile ile ya kikaburu kama waliyokuwa nayo wazungu wachache wa Afrika ya Kusini.
Mnaishi nao huko huko mbonaWale walikuwa makaburu weupe, hao wa sasa ni makaburu weusi.
Bila kujali rangi matendo yao wote ni sawa