Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
relax and calm down gentleman,Aisee!!
utafikia tu hatua ya maono tulipofika sisi polepole,
usikate tamaa

relax and calm down gentleman,Aisee!!

hiyo inahusu nini gentleman kwa faida ya wadau wa JFView attachment 3299034
Ikatae na hii.

Ukiwa na akili timamu lazima uunge mkono No reforms No Election!relax and calm down gentleman,
utafikia tu hatua ya maono tulipofika sisi polepole,
usikate tamaa
Nimesema watanzania wenye akili timamu. Hii ya kwako umeitoa wapi?kwa hyo ccm sio.watanzania?🤣🤣
gentleman,Ukiwa na akili timamu lazima uunge mkono No reforms No Election!

No reforms No election ni wazo la watanzania wenye akili timamu na ndiyo maana watanzania wasio na akili timamu wanadhani wanaweza kutumia mabavu kuizuia!gentleman,
mbona iko wazi sana kwamba,
wanachadema na wananchi kwa ujumla wamekataa hiyo nonsese, useless, null and void agenda. si utaumiza shingo yako mwenyewe kwa kuishupaza bila faida![]()
pole sana gentleman,No reforms No election ni wazo la watanzania wenye akili timamu na ndiyo maana watanzania wasio na akili timamu wanadhani wanaweza kutumia mabavu kuizuia!
No reforms No election.

Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Watanzania wenye akili timamu wanajua kuwa hakuna mahusiano kati ya No reforms No election na kuvurugika kwa amani ama utulivu nchini kwao..Kwasababu wenye akili timamu hawawezi kukubali kuharibu utulivu wa nchi kwa manufaa ya wanasiasa...
Huu mtazamo wenu wa kipumbavu kuona walio kinyume na genge lenu hawana akili ndo unasababisha muadhibiwe kwenye sanduku la kura. CHADEMA mnawahitaji watu wote kwenye sanduku la kura na sio kundi la wahuni wachache mtandaoni mnaodhani wana akili sana ambao wengi wao hawapigi kura. Watu mnaowaona ni wajinga ndo hupiga kura.Huu mjadala unawahusu watanzania wenye akili timamu tu ambao ndiyo waasisi wa No reforms No election.
Kwa eanamiliki Dola ya nini Sasa?. Wewe ni mjinga mmja.Kwanini mnatumia policcm kuwadhibiti na hakuna wanaowaunga mkono. Asiyekubalika hatimiliki nguvu ya dola anaachwa tu akichoka atapumzika leo hii mnatumia policcm kumdhibiti. Kama nyinyi mnakubalika kwanini mtumie nguvu ya kukubalika kwenu?
Onesha wapi nimeandika kuwa wasio sawa na mitizamo yetu hawana akili?Huu mtazamo wenu wa kipumbavu kuona walio kinyume na genge lenu hawana akili ndo unasababisha muadhibiwe kwenye sanduku la kura. CHADEMA mnawahitaji watu wote kwenye sanduku la kura na sio kundi la wahuni wachache mtandaoni mnaodhani wana akili sana ambao wengi wao hawapigi kura. Watu mnaowaona ni wajinga ndo hupiga kura.
Chaga development manifestoKitendo Cha kuandika "chadomo" badala ya CHADEMA ni ishara kuwa utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.
Nasisitiza tena, huu mjadala unahitaji watu wenye akili timamu pekee yao!
Kwani maana ya dola ni nini? Inawezekana maskini ya Mungu hata maana ya dola hujui!Sasa mnapambana kushika Dola ili iwaje?
Wewe unajua?Kwani maana ya dola ni nini? Inawezekana maskini ya Mungu hata maana ya dola hujui!
Hapa pia utimamu wa akili zako ni wa kutiliwa shaka!!Chaga development manifesto
Umeandika maneno ya uwongo. CHADEMA tunasema NO REFORM NO ELECTIONhuo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda![]()
Maana maelezo yako yanaonesha hujui tofauti kati ya Dola na uhuni dhidi ya watu wengine!Wewe unajua?