Nimefanya research.Wewe umewahi kuwa mnyama nyumbu hadi ujue nyumbu wanavyofikiri!?
Nimefanya research.Wewe umewahi kuwa mnyama nyumbu hadi ujue nyumbu wanavyofikiri!?
Kumbe!Ccm mkubali tu mlishafeli big time
Ndio ujue sasaKumbe!
Kwani haya maelezo yako yanatokana na nini hasa!?dhihaka kama hizo zimewatesa sana vyama vya siasa nchini na bado mpaka leo kuna vyama vya siasa hususan chadema wanateseka na kauli za dhihaka kama hizo kwa wananchi na waTanzania wapiga kura.
Wewe afande kilaza nilishasema siwezi kujadiliana na wewe , kajadiliane na division 4 wenzio kule kwenye nyumba chakavu.Katika nyumbu na wewe ni miongoni mwao sishangai comment yako hiyo. Nyumbu katika ubora wake!
Umetumia mbinu gani kwenye huo utafiti wako?Nimefanya research.
unaona we chawa, in every thread about chadema and Lissu lazima utie pua yako, uchawa utakuua nyoohuo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda![]()
mimi huwa naeleza mambo ya msingi tu gentleman.unaona we chawa, in every thread about chadema and Lissu lazima utie pua yako, uchawa utakuua nyoo

Mambo ya msingi kwa mujibu wa kanuni ipi?mimi huwa naeleza mambo ya msingi tu
kwa nanuni ya kistaarabu tu kama binadamu mwenue kipawa na utaalamu wa mabo ya siasa,,Mambo ya msingi kwa mujibu wa kanuni ipi?
Kumbuka No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu.

Ni Chadomo na kama ni Watanzania ni lini walikaa wakasema Chadomo iwasemee?Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Kitendo Cha kuandika "chadomo" badala ya CHADEMA ni ishara kuwa utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.Ni Chadomo na kama ni Watanzania ni lini walikaa wakasema Chadomo iwasemee?
Ndio maana hakuna anaewaunga mkono
huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda![]()
Kwanini mnatumia policcm kuwadhibiti na hakuna wanaowaunga mkono. Asiyekubalika hatimiliki nguvu ya dola anaachwa tu akichoka atapumzika leo hii mnatumia policcm kumdhibiti. Kama nyinyi mnakubalika kwanini mtumie nguvu ya kukubalika kwenu?Ni Chadomo na kama ni Watanzania ni lini walikaa wakasema Chadomo iwasemee?
Ndio maana hakuna anaewaunga mkono
hiyo ni artwork yako gentleman?View attachment 3299025ndio wapiga hesabu nyinyi?

Wizi wote huwo kila kitu unakikataa usiwe mnafiki.hiyo ni artwork yako gentleman?
huyo script writer sio makini pia![]()
Aisee!!hiyo ni artwork yako gentleman?
hiyo ni artwork yako gentleman?
huyo script writer sio makini pia![]()