No reforms No Election ni wazo la watanzania na siyo CHADEMA

dhihaka kama hizo zimewatesa sana vyama vya siasa nchini na bado mpaka leo kuna vyama vya siasa hususan chadema wanateseka na kauli za dhihaka kama hizo kwa wananchi na waTanzania wapiga kura.
Kwani haya maelezo yako yanatokana na nini hasa!?
 
Katika nyumbu na wewe ni miongoni mwao sishangai comment yako hiyo. Nyumbu katika ubora wake!
Wewe afande kilaza nilishasema siwezi kujadiliana na wewe , kajadiliane na division 4 wenzio kule kwenye nyumba chakavu.

Hii itakuwa mara ya mwisho kukujibu.
 
huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda
unaona we chawa, in every thread about chadema and Lissu lazima utie pua yako, uchawa utakuua nyoo
 
unaona we chawa, in every thread about chadema and Lissu lazima utie pua yako, uchawa utakuua nyoo
mimi huwa naeleza mambo ya msingi tu gentleman.

sibabaiki na mihemko wala makasiriko ya madau yeyote wa JF
 
Sidhani kama huu ni wakati wa kugombea slogan
 
Mambo ya msingi kwa mujibu wa kanuni ipi?

Kumbuka No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu.
kwa nanuni ya kistaarabu tu kama binadamu mwenue kipawa na utaalamu wa mabo ya siasa,,
huwa najikita kueleza ukweli kwa mambo ya msingi tu gentleman,

nachelea kukusihi kuheshimu waTanzania kulingana na hali zao, vinginevyo unakufuru kwa kuwabeza kwa ubaguzi kulingana na hali zao gentleman, jambo ambalo sia sawa kwako na kwa chama chako
 
Ni Chadomo na kama ni Watanzania ni lini walikaa wakasema Chadomo iwasemee?

Ndio maana hakuna anaewaunga mkono
 
Ni Chadomo na kama ni Watanzania ni lini walikaa wakasema Chadomo iwasemee?

Ndio maana hakuna anaewaunga mkono
Kitendo Cha kuandika "chadomo" badala ya CHADEMA ni ishara kuwa utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.

Nasisitiza tena, huu mjadala unahitaji watu wenye akili timamu pekee yao!
 
huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda
ndio wapiga hesabu nyinyi?
 
Ni Chadomo na kama ni Watanzania ni lini walikaa wakasema Chadomo iwasemee?

Ndio maana hakuna anaewaunga mkono
Kwanini mnatumia policcm kuwadhibiti na hakuna wanaowaunga mkono. Asiyekubalika hatimiliki nguvu ya dola anaachwa tu akichoka atapumzika leo hii mnatumia policcm kumdhibiti. Kama nyinyi mnakubalika kwanini mtumie nguvu ya kukubalika kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…