gentleman,
mbona iko wazi sana kwamba,
wanachadema na wananchi kwa ujumla wamekataa hiyo nonsese, useless, null and void agenda. si utaumiza shingo yako mwenyewe kwa kuishupaza bila faida
gentleman,
mbona iko wazi sana kwamba,
wanachadema na wananchi kwa ujumla wamekataa hiyo nonsese, useless, null and void agenda. si utaumiza shingo yako mwenyewe kwa kuishupaza bila faida
No reforms No election ni wazo la watanzania wenye akili timamu na ndiyo maana watanzania wasio na akili timamu wanadhani wanaweza kutumia mabavu kuizuia!
Kama ni hivyo basi hakuna mtanzania mwenye akili timamu.Kwasababu wenye akili timamu hawawezi kukubali kuharibu utulivu wa nchi kwa manufaa ya wanasiasa tena ambao amani ikivurugika watakimbilia ulaya.Sina hakika kama watanzania niwajinga kiasi hicho.
No reforms No election ni wazo la watanzania wenye akili timamu na ndiyo maana watanzania wasio na akili timamu wanadhani wanaweza kutumia mabavu kuizuia!
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
Your browser is not able to display this video.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Huu mtazamo wenu wa kipumbavu kuona walio kinyume na genge lenu hawana akili ndo unasababisha muadhibiwe kwenye sanduku la kura. CHADEMA mnawahitaji watu wote kwenye sanduku la kura na sio kundi la wahuni wachache mtandaoni mnaodhani wana akili sana ambao wengi wao hawapigi kura. Watu mnaowaona ni wajinga ndo hupiga kura.
Kwanini mnatumia policcm kuwadhibiti na hakuna wanaowaunga mkono. Asiyekubalika hatimiliki nguvu ya dola anaachwa tu akichoka atapumzika leo hii mnatumia policcm kumdhibiti. Kama nyinyi mnakubalika kwanini mtumie nguvu ya kukubalika kwenu?
Huu mtazamo wenu wa kipumbavu kuona walio kinyume na genge lenu hawana akili ndo unasababisha muadhibiwe kwenye sanduku la kura. CHADEMA mnawahitaji watu wote kwenye sanduku la kura na sio kundi la wahuni wachache mtandaoni mnaodhani wana akili sana ambao wengi wao hawapigi kura. Watu mnaowaona ni wajinga ndo hupiga kura.
huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda