No reforms No Election ni wazo la watanzania na siyo CHADEMA

Halafu wewe sidhani kama hii mada inakufaa. Maana hata kama hujui maana ya dola unawezaje kujua kama watanzania wenye akili timamu wanataka No reforms No Election!
Kama waataka mbona hawaendi kumtoa kinara wao huko.polisi? Mtapata Kwa kuibembeleza CCM? 😂😂
 
Kwa eanamiliki Dola ya nini Sasa?. Wewe ni mjinga mmja.

Sasa mnapambana kushika Dola ili iwaje?
Nchi ya democracia mambo yote yanaenda kidemokrasia wacheni ujinga wakutumia vyombo vya dola ili mbaki madarakani mbona hizo nchi za kidemokrasia haitumiki nguvu kama mnavyotumia nyinyi kuwadhibiti wapinzani wao? Ujinga unaowewe unaeona kushindana nikutumia dola ili mbali madarakani.

Hata neno no reform no election mmeshaliogopa.

Wajinga wakubwa ccm.
 
Kama waataka mbona hawaendi kumtoa kinara wao huko.polisi? Mtapata Kwa kuibembeleza CCM? 😂😂
Hapo pia utimamu wa akili yako ni wa kutiliwa shaka.

Mandela alikaa miaka 27 jela, jee kutokutolewa kwake jela kuliifanya ANC kuwa imetelekeza lengo lake la kuwatoa makaburu madarakani?

Lissu alisema hatanyamaza akiwa amefungwa. Kwa ivo kukamatwa kwake siyo habari!
 
We bwege huo ni urojo wenu hakuna mtanzania amewatuma nyumbu nyie, sisi tuna wawakilishi wetu bungeni.
 
Hilo takataka nasikia eti ni miongoni mwa wagonga meza pale Dodoma, kama ni kweli ndio maana msishangae bandari iliuzwa na mkataba ulipitishwa kwa kura nyingi sababu vilaza nao ni wengi ila wanaitwa waheshimiwa.

Mimi nilishalipeleka ignore list.
Takataka mamako aliyeruhusu mimba yako
 
Usilinganishe hiyo takataka na stateman km Mandela, ukome
 
Usilinganishe hiyo takataka na stateman km Mandela, ukome
Kitendo cha kuandika "km" bila kueleweka ulitaka kumaanisha nini na kuandika stateman bila ya kuweka fungua na funga semi, na hilo neno "ukome" ulilomalizia nalo andiko lako, inaonesha dhahiri kuwa hili bandiko halikuhusu KABISA.
 
Wale walikuwa ni Wazungu ,CCM ni Wazungu?
 
No reform, No election kwani inashida gani?

Kama Kuna watu wanaona chaguzi haziko sawa, issue sio kukamatwa na kuzuia watu kuamini bali issue ni kuja na majibu ya uhakika yanayoonyesha chaguzi ziko sawa.
 
Wale walikuwa ni Wazungu ,CCM ni Wazungu?
Ukiwa na utimamu wa akili utajua wakati mwingine binadamu hutumia mifano ili waelewane!

CCM siyo wazungu ila wana tabia ile ile ya kikaburu kama waliyokuwa nayo wazungu wachache wa Afrika ya Kusini.
 
Ukiwa na utimamu wa akili utajua wakati mwingine binadamu hutumia mifano ili waelewane!

CCM siyo wazungu ila wana tabia ile ile ya kikaburu kama waliyokuwa nayo wazungu wachache wa Afrika ya Kusini.
Kwa nyie wahuni lazima mshughuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…