Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #81
Akili timamu humsaidia mtu kujua sifa za uhuni. No reforms No election ni harakati za watanzania wenye akili timamu kuzuia uhuni wa CCM kwenye chaguzi za Tanzania.Kwa nyie wahuni lazima mshughuliwe
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomoOnesha wapi nimeandika kuwa wasio sawa na mitizamo yetu hawana akili?
Mtu mwenye akili timamu hutumia tafsida kuelezea mambo hadharani. Hii yako inaleta shaka kwenye utimamu wa akili yako!Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo
Anapingwa na mbwa mwitu walioko chadema.huo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda
Utimamu wa akili yangu ni kukupinga mpotoshaji kama wewe.Mtu mwenye akili timamu hutumia tafsida kuelezea mambo hadharani. Hii yako inaleta shaka kwenye utimamu wa akili yako!
vyama vingine vya upinzani hawana akili timamu?Nimesema watanzania wenye akili timamu. Hii ya kwako umeitoa wapi?
Yeah
Wewe kum tu kwangu. Mara afande mara mbunge utanipa vyeo vyote mbw mkubwa. Shithole kubwa.Wewe afande kilaza nilishasema siwezi kujadiliana na wewe , kajadiliane na division 4 wenzio kule kwenye nyumba chakavu.
Hii itakuwa mara ya mwisho kukujibu.
G 55 ni raia wa nchi gani? Leo Mrema na chadema wenzako hawana akili maana wanaikana NR NE?Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Kuna mahali nimeandika hao uliowataja kuwa hawana akili? Usizushe mambo yasiyo kwenye bandiko langu.G 55 ni raia wa nchi gani? Leo Mrema na chadema wenzako hawana akili maana wanaikana NR NE?
Kuna mahali nimetaja chama Cha siasa kuwa wao ndiyo wenye akili kuliko watu wa vyama vingine vya siasa?vyama vingine vya upinzani hawana akili timamu?
La lisuBaada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020 Kwa ahadi za uongo za CCM kuwa hawatafanya uharamia kwenye uchaguzi, baadhi ya watanzania wakaamua kushiriki uchaguzi.
Lakini kama ilivyokuwa mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndivyo mwaka 2020 CCM ilifanya tena uharamia na kuuiba uchaguzi mzima.
Baada ya mwaka 2020 hata wale watanzania walioghilibiwa na CCM nao akili zikawarudia na kurudia msimamo wao wa awali kuwa kama mfumo wa uchaguzi hautarekebishwq na wao hawatashiriki kwenye chaguzi zijazo.
Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mitaa pamoja na kuwa na idadi ya chini kabisa ya watanzania kushiriki, lakini bado ukavurugwa na CCM.
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, asilimia tisini na tisa (99%) ya watanzania wenye akili timamu wakajiapiza kuwa hatashiriki tena kupiga kura labda mifumo ya kiuchaguzi ibadilishwe kisheria.
CHADEMA kwa kuwa inategemea nguvu ya umma kuendesha siasa zake, ikawa haina njia nyingine zaidi ya kukubali kufuata matakwa ya watanzania wenye akili timamu kuwa No reforms No election.
Kwa ivo No reforms No election ni takwa la watanzania wenye akili timamu wanaoipenda nchi yao na wala siyo njia ya CHADEMA kujitafutia umaarufu wa kisiasa!!
Nini?La lisu
mbona hawajitokezi kuitetea?Kuna mahali nimetaja chama Cha siasa kuwa wao ndiyo wenye akili kuliko watu wa vyama vingine vya siasa?
Nilichosema ni kuwa No reforms No Election ni takwa la watanzania wenye akili timamu.
Hao watanzania wapo kwenye vyama vyote vya siasa na hata CCM wapo. Kwa taarifa yako CCM pia Kuna watanzania wa kutosha tu wenye akili timamu.
Kumbe hiyo ni ID yako ya pili ! Ok ngoja nikusogeze unakostahili baada ya mods kukupa tuzo yako.Takataka mamako aliyeruhusu mimba yako
We endelea kufanya kibarua Chako maana umeshalipwa posho sasa unaona mambo safiHuo ni upotoshaji gentleman,
hilo ni wazo binafsi la lisu ndio maana anapingwa na kupuuzwa na wanachadema wenzake kwasababu ya hiyo nonsense, useless, null and void agenda