Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
no reform no electionIle Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
Huyo mleta mada muda wote huwa kalewaHiyo ratiba ya vijiji vyetu iko wapi mkuu
Wewe angalia wenzako wanapata vyao huko Chaumma wakati ukiendelea kutumika bure, situka Chukua hatua. Kweli chaumma ni mpango wa MunguIle Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
Wewe angalia wenzako wanapata vyao huko Chaumma wakati ukiendelea kutumika bure, situka Chukua hatua. Kweli chaumma ni mpango wa Mungu
Akili hizo hawana. Wangekuwa na hizo akili wangezuia mpasuko kwanza ndani ya chama. Kwa vyovyote vile, mpasuko huo hauna afya kwa Chadema, the rest ni kujipa matumaini hewa tu.Hii ni fursa ya chadema kujipanga zaidi, walioondoka chadema wanapanga kwenda kuwahamisha wanachama kule chini, wekeni mkakati ya kuzuia Hilo.Toeni elimu zaidi
Walevi wamehamia Chaumma.Huyo mleta mada muda wote huwa kalewa
Wafanye Press tu, kitaa mtaaibika. Hata mhisani atawatelekeza.HAYO MAMBO TUMEACHA NAYO NAYO, KWA SASA TUPO KWENYE "" C4C"""
TEGA SIKIO KUANZIA TAREHE 30/5/2025.
Wahuni nyieHAYO MAMBO TUMEACHA NAYO NAYO, KWA SASA TUPO KWENYE "" C4C"""
TEGA SIKIO KUANZIA TAREHE 30/5/2025.