Kila la heri.Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
Kila la heri.Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
Hizi assumption huwa mnazitoa wapi? Hujui CCM wako tayari kununua mtu akapige kura?Hakuna mwanachadema atapoteza muda wake kwenda kupiga kura, na hii pia hata wanaccm wenye akili timamu hawataenda kupiga kura kwa sababu wameshatangaziwa kuwa chama chao kitapata ushindi wa 99.9%.
KumBuka Heche ni mkurya.Hawawez kumaliza hii mikoa bila kukamatwa na police
Hawana haja ya kununua mtu akapige kura wakati matokeo yapo tayari ni suala la kutangaza tu wanayemtaka.Hizi assumption huwa mnazitoa wapi? Hujui CCM wako tayari kununua mtu akapige kura?
CHAUMA ndio mpango mzimaAkili hizo hawana. Wangekuwa na hizo akili wangezuia mpasuko kwanza ndani ya chama. Kwa vyovyote vile, mpasuko huo hauna afya kwa Chadema, the rest ni kujipa matumaini hewa tu.
nmesema kashtakiwa ama nmesema ndo akili za wana chadema ndo mmekazia matusiSoma posti yako #37.
skia hii ingineWatanzania wana imani sana na viongozi wa CHADEMA.
Nyie viongozi wa sasa wa CHADEMA ni wapigania uhuru wa kweli wa Nchi hii. Ukombozi unanukia.
hehehe utajua kama ipo ama haipo kwa machozi sku sio nyingiSasa kwa uzezeta wako unaona hapo Kuna kesi kisheria?. Kwanini mnajamba Jamba kuwa ushahidi haujakamilika?. Mpaka lini utakamilisha ushahidi?.
Umeisoma posti yako #37?au umelewa Mataputapu?nmesema kashtakiwa ama nmesema ndo akili za wana chadema ndo mmekazia matusi
tu yoyote ambae anashirikiana na majizi nje kulazimisha sheria zao ziwe applicable apa ni sawa na mhainiKama mlijua Hilo kwanini mlimpiga risasi ili kumuuwa?. MAZEZETA kweli nyinyi.
mambo yasiwe mengi tulia kesi ipo mahakamani si umeshaiskiliza video lakiniUmeisoma posti yako #37?au umelewa Mataputapu?
Kaiba nini? Kuna wezi Kama ccm nchi hii?. Wahaini namba moja ni ccm kwenye ili taifa. Wezi wakubwa nyinyi. Na kila mtu mnayemuona anagusa maslahi yenu mnauwa. Ndiyo maana nikakwambia Kama kila mtu atakufa kwa wakati wake aliipangiwa na Mungu. Kwanini mlimpiga risasi Lisu ili kumuuwa. Mzee kibao mlimshusha kwenye bus mkaenda kumuua alafu na UZEZETA wako unasema ni sawa. We mtu ni mjinga sana. Siasa zimewafanya hata kutii Mungu amuwezi. Ile amri ya MUNGU inayosema USIUWE itawaingiza wanaccm wengi sana JEHANAMUtu yoyote ambae anashirikiana na majizi nje kulazimisha sheria zao ziwe applicable apa ni sawa na mhaini
mbna unafoka mzee, siasa ni michezo tu usiweke hisia ukoKaiba nini? Kuna wezi Kama ccm nchi hii?. Wahaini namba moja ni ccm kwenye ili taifa. Wezi wakubwa nyinyi. Na kila mtu mnayemuona anagusa maslahi yenu mnauwa. Ndiyo maana nikakwambia Kama kila mtu atakufa kwa wakati wake aliipangiwa na Mungu. Kwanini mlimpiga risasi Lisu ili kumuuwa. Mzee kibao mlimshusha kwenye bus mkaenda kumuua alafu na UZEZETA wako unasema ni sawa. We mtu ni mjinga sana. Siasa zimewafanya hata kutii Mungu amuwezi. Ile amri ya MUNGU inayosema USIUWE itawaingiza wanaccm wengi sana JEHANAMU