PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kanda ya Kaskazini, Angalia Ratiba ya Kijiji Chako hapa

PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kanda ya Kaskazini, Angalia Ratiba ya Kijiji Chako hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
NDOKENI PENYE CHUKI, VISASI NA VIVYONGO, ENENDENI PENYE AMANI UPENDO NA UTU, JIUNGENI NA CHAUMMA, MPATE FARIJIKO, UHURU WA KIMAONI KWA KILA MMOJA MMOJA, KILA MMOJA ANATHAMANI SAWA NDANI YA CHAMA, KAULI YA KIONGOZI SI KAULI YA MWISHO NDANI YA CHAMA CHA CHAUMMA, ONDOKENI HUMO MLIPO, TUMFUATE MUSSA TUKAVUKE BAHARI YA SHAMU.
 
Hii kazi ya kuwapa elimu wananchi juu ya HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanao wataka bila kuingiliwa na yeyote ni MUHIMU sana kwa sasa hivi.

Ndiyo maana kazi ni lazima ifanyike kwa uangalifu na utulivu mkubwa sana, bila ya kutetereshwa na maudhi wanayoshawishiwa viongozi hawa kuyajibu ili patokee taharuki.

Wachukue tahadhali kubwa kutoangukia kwenye mitego hiyo ya kipuuzi.
Kikubwa waache matusi! Wajenge hoja tu. Wasimtukane rais Samia
 
Ndgu zangu mnao dai kuwa hawa ni watetezi bado hamjawajua wanasiasa,nashauri tufanye kazi ya kutuingizia vipato.
Hao CDM hata wakipewa madaraka leo ya kuiongoza nchi mtalia na wengi mtarudi hapa na kusema bora CCM kuliko hawa manyang'au ya CDM.
Subirini mjionee
 
Ngoja tusubiri tujionee
 
Go CHADEMA Gooooo...

Mungu aliyehai awaongoze na kuwapigania ktk kuitafuta haki ktk taifa letu la Tanganyika...

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissuNow
#WhereIsMdudeNyagali?
 
Back
Top Bottom