PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kanda ya Kaskazini, Angalia Ratiba ya Kijiji Chako hapa

PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kanda ya Kaskazini, Angalia Ratiba ya Kijiji Chako hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shetani na genge lake tumbo joto hiyo mikoa, 🤣🤣🤣, malaika wanaenda kupitia eneo lako
 
Apoo kwenye elimu kwanzaa!
Wantanzania wakishaelimika kuhusu No reform no election apo mbele mambo yataendaa kirahisi sanaa.
 
Hii kazi ya kuwapa elimu wananchi juu ya HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanao wataka bila kuingiliwa na yeyote ni MUHIMU sana kwa sasa hivi.

Ndiyo maana kazi ni lazima ifanyike kwa uangalifu na utulivu mkubwa sana, bila ya kutetereshwa na maudhi wanayoshawishiwa viongozi hawa kuyajibu ili patokee taharuki.

Wachukue tahadhali kubwa kutoangukia kwenye mitego hiyo ya kipuuzi.
Mchango wako na wangu unahitajika mkuu kwa kazi hiyo.
 
Wafanye Press tu, kitaa mtaaibika. Hata mhisani atawatelekeza.
Sikiliza wewe mtekaji, ninavyojua Chadema mpya ya leo haina mhisani, bali ina wahisani ambao ni wananchi wenyewe kupitia TONE TONE!
 
Back
Top Bottom