Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
SwadaktaSikiliza wewe mtekaji, ninavyojua Chadema mpya ya leo haina mhisani, bali ina wahisani ambao ni wananchi wenyewe kupitia TONE TONE!
SwadaktaSikiliza wewe mtekaji, ninavyojua Chadema mpya ya leo haina mhisani, bali ina wahisani ambao ni wananchi wenyewe kupitia TONE TONE!
Ni kweli kabisa 100 %![]()
Samia anatukanwa na wakenya aliowachokoza mwenyewe.Kikubwa waache matusi! Wajenge hoja tu. Wasimtukane rais Samia
Hakuna mwanachadema atapoteza muda wake kwenda kupiga kura, na hii pia hata wanaccm wenye akili timamu hawataenda kupiga kura kwa sababu wameshatangaziwa kuwa chama chao kitapata ushindi wa 99.9%.Wanafanya kazi nzuri sana.
Hii itawafanya wananchi wakichague CHAUMA kwa wingi iwapo CHADEMA hawatashiriki uchaguzi.
Matusi ni jinai hebu weka ushahidi.jamaa lenu linajua kutukana tu
acheni kujieleza sana kesi ipo mahakamani akikutwa na hatia aapokea malipo yakeMatusi ni jinai hebu weka ushahidi.
acheni kujieleza sana kesi ipo mahakamani akikutwa na hatia aapokea malipo yake
View: https://www.youtube.com/watch?v=Pgu4VfqBGKs
we skiliza video alafu subiria sku ya kesiHayo ndio matusi? wewe mbona mpuuzi sana. Mpuuzi pia sio matusi yaani ni mtu wa KUPUUZWA.🤪
Matusi hapo ni yepi?we skiliza video alafu subiria sku ya kesi
kwan anashtakiwa kwa sababu ya matusi?Matusi hapo ni yepi?
CHAUMA NI TOILET PEPA INAYOSUBIRI KUCHAMBIWA NA CCM WAKATI WA UCHAGUZI NA KUTUPWA IKIWA NA MAVIIII.NDOKENI PENYE CHUKI, VISASI NA VIVYONGO, ENENDENI PENYE AMANI UPENDO NA UTU, JIUNGENI NA CHAUMMA, MPATE FARIJIKO, UHURU WA KIMAONI KWA KILA MMOJA MMOJA, KILA MMOJA ANATHAMANI SAWA NDANI YA CHAMA, KAULI YA KIONGOZI SI KAULI YA MWISHO NDANI YA CHAMA CHA CHAUMMA, ONDOKENI HUMO MLIPO, TUMFUATE MUSSA TUKAVUKE BAHARI YA SHAMU.
Kama mlijua Hilo kwanini mlimpiga risasi ili kumuuwa?. MAZEZETA kweli nyinyi.hio ni njia ya kila mtu ata jamaa wenu akimaliza kesi atafuata
acheni kujieleza sana kesi ipo mahakamani akikutwa na hatia aapokea malipo yake
View: https://www.youtube.com/watch?v=Pgu4VfqBGKs
Mkuu, ina maana chama hiki hakikuwa na uongozi wa juu? maana nimeona wageni wamepewa nyadhifa zote za juu, isipokuwa Uwenyekiti. Hi imekakaje?Walevi wamehamia Chaumma.
Mkuu, hata mimi nashanga sana, naona wale waliokwenda kuomba vibarua, una jibaragusa sana kuliko mwenye kiwanda! Hii ipo sawa kweli?Kazi takatifu ya wanaume hii! Sio wale wanaoenda kupangishiwa vyumba na wanaume wenzao! Wanajibebisha kwa mzee Rungwa! 😀
Ngoja niwaongezee tone la 500k fasta
Kha! Umesahau mara hii?!!🤣🤣kwan anashtakiwa kwa sababu ya matusi?
Soma posti yako #37.kwan anashtakiwa kwa sababu ya matusi?
Hapo EM ipo kwenye mpango MZIMA?C4C NDIYO MPANGO MZIMA KWA KIZAZI HIKI
Mpasuko wa anayetapeliwa unaweza kuzuiaje wewe? Ndio maana hawakupelekwa ACT Zambarao kwa kuwa ni mkakati mahsusi.Ngoja ujenzi uishe tuone linakotupwa kalai.Akili hizo hawana. Wangekuwa na hizo akili wangezuia mpasuko kwanza ndani ya chama. Kwa vyovyote vile, mpasuko huo hauna afya kwa Chadema, the rest ni kujipa matumaini hewa tu.