Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kikubwa waache matusi! Wajenge hoja tu. Wasimtukane rais SamiaHii kazi ya kuwapa elimu wananchi juu ya HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanao wataka bila kuingiliwa na yeyote ni MUHIMU sana kwa sasa hivi.
Ndiyo maana kazi ni lazima ifanyike kwa uangalifu na utulivu mkubwa sana, bila ya kutetereshwa na maudhi wanayoshawishiwa viongozi hawa kuyajibu ili patokee taharuki.
Wachukue tahadhali kubwa kutoangukia kwenye mitego hiyo ya kipuuzi.
Hili swali kamuulize Makala.Ruzuku mnakula peke yenu
Huo ndio ukweli
Hadi Amos Makalla anasema atahudhuria mikutano ya Chauma!C4C NDIYO MPANGO MZIMA KWA KIZAZI HIKI
Ngoja tusubiri tujioneeNdgu zangu mnao dai kuwa hawa ni watetezi bado hamjawajua wanasiasa,nashauri tufanye kazi ya kutuingizia vipato.
Hao CDM hata wakipewa madaraka leo ya kuiongoza nchi mtalia na wengi mtarudi hapa na kusema bora CCM kuliko hawa manyang'au ya CDM.
Subirini mjionee
Wanafanya kazi nzuri sana.Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
Arusha **** hatihati makonda akaleta uhuniHuku kuna mambo yanaenda kufichuliwa
Same to hata kwenye mikutano ya cdm 50% huwa ni Wana ccm kamili, wanatega sikio!Hadi Amos Makalla anasema atahudhuria mikutano ya Chauma!
Nani kamtukana?Kikubwa waache matusi! Wajenge hoja tu. Wasimtukane rais Samia
Akikujibu nistueNani kamtukana?
Hakuna tusichokijuaArusha **** hatihati makonda akaleta uhuni
mmemuona mwangiIle Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
View attachment 3341541
jamaa lenu linajua kutukana tuNani kamtukana?
Kila Ubaya Utalipwa tu, Jiwe alipakia watu hadi kwenye viroba na kuwatupa baharini, Leo yuko wapi?mmemuona mwangi
sasa kwan kufa ni matokeo ya ubaya ama hujui na wewe mtalaam lazima sku utakata motoKila Ubaya Utalipwa tu, Jiwe alipakia watu hadibkwenye viroba na kuwatupa baharini, Leo yuko wapi?