PreGE2025 No Reforms No Election yatawala kwa Mkapa kwenye mechi ya Derby, Mashabiki waripuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wataelewa tu. Makala anakazana kupiga propaganda uchwara anadhani Watanganyika ni mandeeezi
 
Lazima kushiriki vilivyo katika vuguvugu hili siyo kuwaachia watu wachache kina Lissu Heche, Mnyika, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa na viongozi wengine 200 wa chama huku umma wa People's Power nguvu ya umma tulio maelfu, malaki na mamilioni tuna woga mkubwa na kujistukia ....



Sema Aluta Continua, Struggle Must Continue, Mapambano lazima yaendelee na pia Nguvu ya Umma ya mamilioni ya raia tujitokeze bila wasiwasi.

Iwe kama hapa kwa Mkapa, matamasha, concert, majukwaa yote ya kijiditali, X, FB, INSTA, Youtube, Radio, Televisheni, shughuli za kijamii, vijiwe, jobless corner, kuandika GRAFFITI n.k tuteke majukwaa yote maana timu zimenunuliwa, media zimetiwa mfukoni, matamasha wamelipia SASA nasi kujipenyenze humo humo hadi kieleweke

No Reforms No Elections.
 
Sema, jamaa kwenye hili umetudanganya, hapo uwanja umelipuka kweli?
Mbona ni kakikundi kanako onekana kujiandaa kufanya tukio Hilo.
 
Sema, jamaa kwenye hili umetudanganya, hapo uwanja umelipuka kweli?
Mbona ni kakikundi kanako onekana kujiandaa kufanya tukio Hilo.
Mkuu habari za Geita, kama masikio unayo unaweza kujua waliokuwa wanaitikia
 
Mlisema mnaingia na tshet za mano noo hayo..
Leo mngejua kama ule uwanja ni wa mama zenu au ni kodi za wananchi
 
College politics ndizo unazozijadili. Kina Nyerere walianza siasa wakiwa vyuoni.

Sasa hizo za kina Mwijaku zinawapeleka wapi CCM?
Hakuna record ya kihistoria kwamba Nyerere alianzia siasa college. Weka hapa ushahidi nami niweke wa kwangu. I'm waiting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…