PreGE2025 No Reforms No Election yatawala kwa Mkapa kwenye mechi ya Derby, Mashabiki waripuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
College politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.
🤣🤣🤣
Sema hii kauli mbiu ni msumari wa moto kwenye kidonda. Ngoja tuone pamoja na kukifungia chama kwa hila na ghiliba lakini Wananchi wana Elewa somo.

Na upinzani upo kikatiba, kinachowakera na kuwauma ni kipi?

NoreformsNoelection
 
Baada ya siku chache hao masikini watakimbia jf
 
Mbona hamna video
 
Kwa faida ya sisi ambao hatukuwepo ingekuwa vizuri kama ungeweza kutueleza kama ni mashabiki wote wa Simba na Yanga walikuwa wanaimba No Reform,No Election.
Au kama ilikuwa ni wahuni wachache wa Chadema.
 
Mambo yanazidi kupendeza
 

View: https://youtu.be/g06ArFgYDdM?si=eHsDRnHpTpOfiBgc
 
Haya. Siku mkiingia madarakani mnitaarifu.
 
Safi sana hiyo. Mungu wetu azidi kutujalia ujasiri wa kujitenga na matendo ya kihuni ya CCM ya kudhulumu mamlaka ya wananchi katika kuwapara watu wanaotaka wawaongoze. Kila la kuisemea haki dhidi ya ushetani wa CCM, tulinene kwa uwazi mbele ya macho na masikio yao.
 
Kwa faida ya sisi ambao hatukuwepo ingekuwa vizuri kama ungeweza kutueleza kama ni mashabiki wote wa Simba na Yanga walikuwa wanaimba No Reform,No Election.
Au kama ilikuwa ni wahuni wachache wa Chadema.
Kwanini unasema ni wahuni? Ulitaka wafanye jambo gani ili wasionekane kuwa ni wahuni? Mtu akishiba baada ya kushibishwa na juhudi za hao unawaita leo wahuni inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…