Samahani. Nilitaka kutumia maneno magumu kuelezea hali ya nguo zake za ndani huyo Jumanne Mulilro wakati akishuhudia tukio hilo. Bahati nzuri alikuwa hakujiandaa kwa tukio kama hilo!Unaambiwa Muliro kapigwa na butwaa, hizo shangwe zimerindima karibu na alipokaa
Kama ni dude kubwa sana mbona mnaogopa sana upinzani??Dogo unachotakiwa kujua, CCM ni dude kubwa sana. Stupid College Politics zenu zitaendelea kuifanya CCM kuwa madarakani miaka mia ijayo na hicho tunachotaka sisi CCM.
Huna akili hata kidogo.Ya no Reforms mtajua wenyewe, tuko bize na wanaume Iran, sio wabariki ushoga
😆😆😆😆 Hakuamini macho yakeSamahani. Nilitaka kutumia maneno magumu kuelezea hali ya nguo zake za ndani huyo Jumanne Mulilro wakati akishuhudia tukio hilo. Bahati nzuri alikuwa hakujiandaa kwa tukio kama hilo!
Huyu jamaa ni mmoja wa watu hatari sana ndani ya Genge la Samia.
Itanisaidia nini no reforms! No chadema no ushogaHuna akili hata kidogo.
Iran itakusaidia nn wewe?
Unaishi Iran?
Familia yako inaishi Iran?
How does Iran's Politics affect you?
Anyway, uwe na siku njema!
Jifunze world politics ndio uje ujadiliane na mimi dogoHizi za kwenu; Samia na GENGE, tuziite 'politics' za kitu gani; utekaji/upotezaji/uuaji?
Au 'politics' za ulaghai/hadaa na kukiteka chama cha siasa na kukifanya kiwe kinga yenu ya kuwafanyia waTanzania maovu?
Kwani nilipoandika CCM ni dude kubwa sana ulielewa nini? Nijibu kwanza kabla sijaeleza nilimaanisha nini.Kama ni dude kubwa sana mbona mnaogopa sana upinzani??
Kama ni dude kubwa sana mbona mnaua watu ili mbaki madarakani??
Kama ni dude kubwa sana mbona mnawaonea Chadema??
Kama ni dude kubwa sana mbona hamtaki kuwasikikiza wananchi na kuwapa katiba wanayostahili??
You're very stupid my friend, kuiba kura sio ukubwa, ni udanganyifu na udhaifu.
Siwezi kujadiliana na kiazi kama wewe, nakufahamisha tu.Jifunze world politics ndio uje ujadiliane na mimi dogo
Mbona wewe ndiyo kiaziSiwezi kujadiliana na kiazi kama wewe, nakufahamisha tu.
Una maana wewe ni kiazi zaidi ya huyo jamaa? Basi wewe utakuwa ni kiazi kilichovunda kabisa!Mbona wewe ndiyo kiazi