No Reforms No Elections: Kama kweli itatokea ni nini kitawakabili Lissu na CHADEMA

Niende kituoni kuzuia uchaguzi kisa tu CHADEMA ishike dola.Utakuwa ni ujinga wa hali ya juu sana
 
Aanze na nalala aliyeanzisha uchokozi
 
Umma wa watanzania wakiamua hakuna wa kuwazuia hivyo ondoa uharo wako ulioharisha hapa.
Umma wa kulia chips mezani labda. Lakini kama ni maandamano kwa Tanzania sahau.

Kumbuka UKAWA ilivyofeli maandamano mwaka 2015, kumbuka maandamano ya 2020 aliyoitisha Mbowe baada ya Magufuli kutangazwa mshindi, kumbuka yale maandamano ya mwaka juzi na mwaka jana yalivyofeli pia.

Watanzania hawana muda mchafu
 
Mbona nao CHADEMA ni wavunja akatiba pia? Juzi Lissu anatimua akina Catherine Ruge na Julius Mwita bila hata kuwapa nafasi ya kusikilizwa, right to be heard. Sasa madaraka madogo tu anakuwa dikteta, ukimpa nchi si ndiyo balaa
 
Umma wa watanzania wakiamua hakuna wa kuwazuia hivyo ondoa uharo wako ulioharisha hapa.
Hakuna Watanzania wa hivyo. 99% wako busy na kupambania uchumi wapate kipato cha kuendesha maisha yao.
 
Ujinga wangu uko wapi? Mbona mie nimechanganua tu situation iliyopo na nini chaweza kutokea iwapo akina Lissu na kikundi chake wataanzisha uasi.

Au na wewe ni bwege hujui kusoma kwa kuelewa?
 
Tutauzuia UCHAFUZI mpaka Reforms zitakapofanyika.
Wanashindwa kuweka wazi kuwa kuharibu mchakato wa uchaguzi, kuiba kura na ulaghai katika mfumo wa uchaguzi ndio kosa kubwa kabisa sawa na uhaini kabisa kuliko kuamrisha mamlaka yaweke taratibu safi kwa uchaguzi huru na haki.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Hiyo ya Msajili wa vyama imekaa utamu, halafu lile jengo la Mikocheni tunalitaifisha tunaanza kukaa humo
 
Usiwe na shaka, we fanya yako tu easy, Lissu anajua sheria kuliko wewe mganga njaa, na anajua kabisa mnaweza kufanya hayo, endeleeni tu kuunda charge sheet
 
Sheria zile zile toka kwa makada wa Mboga Mboga zije kutumika kwaajili ya wote ?
 
Usiwe na shaka, we fanya yako tu easy, Lissu anajua sheria kuliko wewe mganga njaa, na anajua kabisa mnaweza kufanya hayo, endeleeni tu kuunda charge sheet
Kwani sheria kasoma Tundu peke yake kwenye chuo? Angekuwa amesoma vizuri tungeona namna anavyoiendesha CHADEMA kwa kufuata sheria. Mganga hajigangi
 
Hakuna jipya chini ya jua.

Lissu hatokuwa mwanasiasa wa kwanzq kupewa kesi yoyote ya jinai kama ya uhaini.

Miaka ya 90 NCCR ikiwa ya moto bara na CUF ikiwa ya moto Visiwani wanasiasa kadhaa walipewa kesi ya uhaini kwa hila za serikali ya ccm
 
Wako wapi sasa hau wanasiasa wa CUF na NCCR? Je vipi hali ya hivyo vyama ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…