No Reforms No Elections: Kama kweli itatokea ni nini kitawakabili Lissu na CHADEMA

No Reforms No Elections: Kama kweli itatokea ni nini kitawakabili Lissu na CHADEMA

As long as hamna Katiba nyingine zaidi ya hiyo ya 1977, lazima iheshimiwe
Aliyeapa kuilinda katiba anaiita "kijitabu" na haiheshimu, sisi Wananchi wa Tanzania ambao ridhaa ya kutuongoza inatakiwa itoke kwetu, tufanyaje kwa mtu wa namna hii!!??
 
Kulinganisha jamii ya 2015, 2020 na sasa 2025 au 2030, ni uzwazwa, utahira na ukilaza wa hali ya juu.
Jana sio leo.
Mtanzania wa jana, sio wa leo na wala hatakuwa sawa na wa kesho.
Umma wa kulia chips mezani labda. Lakini kama ni maandamano kwa Tanzania sahau.

Kumbuka UKAWA ilivyofeli maandamano mwaka 2015, kumbuka maandamano ya 2020 aliyoitisha Mbowe baada ya Magufuli kutangazwa mshindi, kumbuka yale maandamano ya mwaka juzi na mwaka jana yalivyofeli pia.

Watanzania hawana muda mchafu
 
Aliyeapa kuilinda katiba anaiita "kijitabu" na haiheshimu, sisi Wananchi wa Tanzania ambao ridhaa ya kutuongoza inatakiwa itoke kwetu, tufanyaje kwa mtu wa namna hii!!??
Kwani Katiba ni "likitabu", kwa vile ni ndogo ni kijitabu
 
Kulinganisha jamii ya 2015, 2020 na sasa 2025 au 2030, ni uzwazwa, utahira na ukilaza wa hali ya juu.
Jana sio leo.
Mtanzania wa jana, sio wa leo na wala hatakuwa sawa na wa kesho.
Mbona sijakuona huko Songea kuzuia Tundu asikamatwe? Nyie ni keyboard warriors tu
 
Uzwazwa na ukilaza ni mzigo sana. Pole kwa hayo.
Alivyoiita katiba "kijitabu", hakuwa na maana kuwa ni kadogo, bali maana yake ni "worthless"!
Kwani Katiba ni "likitabu", kwa vile ni ndogo ni kijitabu
 
Uzwazwa na ukilaza ni mzigo sana. Pole kwa hayo.
Alivyoiita katiba "kijitabu", hakuwa na maana kuwa ni kadogo, bali maana yake ni "worthless"!
Unamuwekea maneno mdomoni. Weka text nzima au voice clip hapa tuisikie
 
Muda utaongea...

Cc: Mahondaw
Screenshot_20250527_193958_X.jpg

Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia
 
View attachment 3347792

Huyo jamaa yenu msimamizi mkuu wa wezi wa kura, hajawahi kuwa upande wa vyama pinzani hata kwa dawa na haitatokea kama tu Watanganyika hawataamua kushinikiza kuwa na tume huru
 
(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
  • Kutoa onyo la kisheria
  • Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
Kwa mujibu wa taarifa ya leo hiyo dot ya kwanza tayari imesha chukua nafsi.

Kufika mwishoni mwa Julai dot ya 2 ya kufuta chama iyakuwa imetelezwa
 
Kwani wakiifuta CHADEMA ndio watu wataipenda ccm? We are wiser today than yesterday !
 
Back
Top Bottom