residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Aliyeapa kuilinda katiba anaiita "kijitabu" na haiheshimu, sisi Wananchi wa Tanzania ambao ridhaa ya kutuongoza inatakiwa itoke kwetu, tufanyaje kwa mtu wa namna hii!!??As long as hamna Katiba nyingine zaidi ya hiyo ya 1977, lazima iheshimiwe
Umma wa kulia chips mezani labda. Lakini kama ni maandamano kwa Tanzania sahau.
Kumbuka UKAWA ilivyofeli maandamano mwaka 2015, kumbuka maandamano ya 2020 aliyoitisha Mbowe baada ya Magufuli kutangazwa mshindi, kumbuka yale maandamano ya mwaka juzi na mwaka jana yalivyofeli pia.
Watanzania hawana muda mchafu
Jibu kama shujaa mkuu, Upo tayari kuikabili polisi? Jibu ndio, mimi xxx..nitaikabili polisi kwa kuzuia uchaguzi.
Kwani Katiba ni "likitabu", kwa vile ni ndogo ni kijitabuAliyeapa kuilinda katiba anaiita "kijitabu" na haiheshimu, sisi Wananchi wa Tanzania ambao ridhaa ya kutuongoza inatakiwa itoke kwetu, tufanyaje kwa mtu wa namna hii!!??
Mbona sijakuona huko Songea kuzuia Tundu asikamatwe? Nyie ni keyboard warriors tuKulinganisha jamii ya 2015, 2020 na sasa 2025 au 2030, ni uzwazwa, utahira na ukilaza wa hali ya juu.
Jana sio leo.
Mtanzania wa jana, sio wa leo na wala hatakuwa sawa na wa kesho.
Kwani Katiba ni "likitabu", kwa vile ni ndogo ni kijitabu
Alaah, kumbe TanPol ni vilaza?Pole sana kwa ukilaza uliokufanya uwe TanPol.
Umeona sasa wazazi wako wamelea shoga kmmkWazazi wako wewe wamekusaidia nini zaidi ya kuwa shabbiki wa harakati za Chiba aka Tundu?
Unamuwekea maneno mdomoni. Weka text nzima au voice clip hapa tuisikieUzwazwa na ukilaza ni mzigo sana. Pole kwa hayo.
Alivyoiita katiba "kijitabu", hakuwa na maana kuwa ni kadogo, bali maana yake ni "worthless"!
Mpe anuani ya huko unakouza matako yako kwanzaUmeona sasa wazazi wako wamelea shoga kmmk
Kauze matackle hayo kimboka
Mpe anuani ya huko unakouza matako yako kwanza
Huyo jamaa yenu msimamizi mkuu wa wezi wa kura, hajawahi kuwa upande wa vyama pinzani hata kwa dawa na haitatokea kama tu Watanganyika hawataamua kushinikiza kuwa na tume huruView attachment 3347792
Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia
Kwa mujibu wa taarifa ya leo hiyo dot ya kwanza tayari imesha chukua nafsi.(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
- Kutoa onyo la kisheria
- Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
We huogopi ? Makamu Mwenyekiti IDU.Kwa hiyo Tundu ndiyo Mandela wenu?? Mnachekesha sana
Hivi wewe, kwa nini unapenda sana kumfananisha Mandela na watu wapumbavu kama Lissu na Heche!!??Mandela alifungwa miaka 27 jela. Je Afrika Kusini haikupata ukombozi?
TAL 16Hivi wewe, kwa nini unapenda sana kumfananisha Mandela na watu wapumbavu kama Lissu na Heche!!??