No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Wengi wanaamini Al Merekh ni mbovu kiasi kwamba watapigwa nyingi na vijana wa kariakoo lakini amini usiamni hii gemu ngumu sana kwa pande zote hasa hasa kwa wekundu wa msimbazi.
Tarajia yafuatayo;
• Red card/penalty
• Sare ya magoli
• Simba kupoteza kabisa

Wako;
Magema Jr

SportsFire
 
simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
Simba hajawahi kupoteza Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan.

Nafikri timu pekee iliyowahi kuwafunga Simba ni Al Ahly Shandy hao wengine wote ni vibonde tu kwa Simba.

Hivi unakumbuka Al Hilal aliwahi kupigwa goli 6-0 na Simba pale uwanja wa Uhuru huku Abed Mulenga na Said Swedy wakipiga goli mbili kila mmoja.
 
Labda mwalimu aingie kwa kuwaogopa lakini ni timu nyepesi.

Naona wamebadilisha muda wa kucheza ili wapate advantage ya joto ngoja tuone kama watafanikiwa.
 
Simba hajawahi kupoteza. Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan.

Nafikri timu pekee iliyowahi kuwafunga Simba ni Al Ahly Shandy hao wengine wote ni vibonde tu kwa Simba.

Hivi unakumbuka Al Hilal aliwahi kupigwa goli 6-0 na Simba pale uwanja wa Uhuru huku Abed Mulenga na Said Swedy wakipiga goli mbili kila mmoja.
Weka pesa simba win, weka 100000
 
Back
Top Bottom