No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

Simba leo hawataamini.Atapigwa si chini ya goli 4, baada ya mechi mtakumbuka hii post
Dua la nyani halimpati Simba. Lisilo na ubishi ni kuwa juzi mlikeketwa na kubikiriwa kwa mpigo pale Mkwakwani
 
Sisi Simba tunakubali matokeo yote matatu katika mpira.
Nawewe cheza Club bingwa Afrika na usifungwe.
Kafungwa bingwa mtetezi Al-Ahaly sembuse Simba.
ndo msemo wa siku e??😂😂😂
 
simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
uko vizuri mkuu
 
Hayo ni maoni yako ya kiutopolo lakini sio kwamba ndio ukweli, yaani umeandika vile unavyotaka itokee maana hakuna uchambuzi wowote ulioufanya halafu unataka hao wengi waamini maoni yako ya kiutopolo.
Sijawahi kufail katika kazi yangu hii mkuu
 
simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
Una umri gan dada mvaa vjora na madela? MUULIZE ZAMALEK
 
Tuombee Mungu tuingie robo fainali,kuna mzigo mrefu tutapata ntakutoa hata kidogo mkanunue vyandarua,unajua hostel yenu ipo kwenye majaruba Mbu ni wengi pale Jangwani.
Achana na mbu, wale tushaingia nao ubia hata hawatupi shida. Sasa leo unaniachaje😆😆😆
 
Jamani naomba link ya live streaming kwa game ya leo
 
Mshaanza porojo zenu mapema tu, akishinda mnakuja tena kubashiri next game
 
Back
Top Bottom