KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbushe tushawapiga haohao melekh kwao 2 bila kabla ya half time wakatupiga mawe mechi iakavunjika wakakataa kutupa ushindi wakasema mechi irudiwe Simba wakajitoa ilikuwa robo fainal ya afrika mashariki na kati
Tutamkumbusha akiwa amejichimbiaUsije ukakimbia bandiko lako tu
Kwa upuuzi huu ni kweli hawana akili hata kiduchuUto hawajawahi kua na akili[emoji23][emoji23]
Baada ya hapo tukakutana kwenye kombe la caf tukawatoa hivi vitoto vilivyoanza kushabikia mpira enzi za manji ni shidaMkumbushe tushawapiga haohao melekh kwao 2 bila kabla ya half time wakatupiga mawe mechi ikavunjika wakakataa kutupa ushindi wakasema mechi irudiwe Simba wakajitoa ilikuwa robo fainal ya afrika mashariki na kati
ZBC2Hivi kwa Dstv mechi itaoneshwa channel gani wakuu?
Dstv hamna ZBC2 mkuuZBC2
Said Swedy ScudSimba hajawahi kupoteza Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan.
Nafikri timu pekee iliyowahi kuwafunga Simba ni Al Ahly Shandy hao wengine wote ni vibonde tu kwa Simba.
Hivi unakumbuka Al Hilal aliwahi kupigwa goli 6-0 na Simba pale uwanja wa Uhuru huku Abed Mulenga na Said Swedy wakipiga goli mbili kila mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu na nafikiri ni uzi maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Kidimbwi fc ili kujipoza machungu.
Wameamua kujipa raha wenyewe
3.30 hrs to go tusubiri muda utupatie majibuWewe unafikiri mtapoteza kwa kucheza fair game,hapana,waarabu hawatawaruhusu mcheze fair game,fitina mwanzo mwisho,hii game mmeshinda sana droo au mnapigwa kimoja ndiyo nitoleee
Huyu jamaa sijui alipotelea wapi walitengeneza Partnership matata sana na Abed Mulenga japo ilikuwa ya muda mfupi na katika kucheza kwao walicheza mechi saba tu wakiwa pamoja na zote walifunga magoli.Said Swedy Scud
Simba 1 msudani 3