No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

Kweli simba tumefika ile level tuliyokuwa tunaitamani hadi wenzetu wanaamini tukifungwa mechi ya klabu bingwa tena ugenini ni jambo la kushtua na kushangaza kutokea kwake
Hivi ndivyo klabu kubwa inapaswa kuchukuliwa na watuu
 
Wengi wanaamini Al Merekh ni mbovu kiasi kwamba watapigwa nyingi na vijana wa kariakoo lakini amini usiamni hii gemu ngumu sana kwa pande zote hasa hasa kwa wekundu wa msimbazi.
Tarajia yafuatayo;
• Red card/penalty
• Sare ya magoli
• Simba kupoteza kabisa

Wako;
Magema Jr

SportsFire
Vyote havijatokea .Simba kazidi kujiimarisha kileleni
 
Hivi visichana vya kazi vina shida sana vikianza kushabikia mpira.

Binti unadhani Simba kuhonga ni sawa na wewe unavyohongwa na vibaka wa mtaani kwako?
simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
 
Simba mechi tatu klabu bingwa ajaruhusu goli na cleensht
Anachukua point 4 ugenini
Hii kwa tz atujawaigi Fanya simba ndio anafanya for the first time watanzania wote narudia wooooooote semeni simba baba lao ukiumia kunya boga uchanike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi wanaamini Al Merekh ni mbovu kiasi kwamba watapigwa nyingi na vijana wa kariakoo lakini amini usiamni hii gemu ngumu sana kwa pande zote hasa hasa kwa wekundu wa msimbazi.
Tarajia yafuatayo;
• Red card/penalty
• Sare ya magoli
• Simba kupoteza kabisa

Wako;
Magema Jr

SportsFire
Yanga a.k.a mijitu ya kubwekabweka. HAIJUI FOOTBALL
 
Wengi wanaamini Al Merekh ni mbovu kiasi kwamba watapigwa nyingi na vijana wa kariakoo lakini amini usiamni hii gemu ngumu sana kwa pande zote hasa hasa kwa wekundu wa msimbazi.
Tarajia yafuatayo;
• Red card/penalty
• Sare ya magoli
• Simba kupoteza kabisa

Wako;
Magema Jr

SportsFire
Red card/Penalty - HAKUNA
Sare ya magoli - HAKUNA
Simba kupoteza - HAKUNA,

Mkuu bora uwe Mchamungu tu, sio Mchambuzi.
 
Hakuna kilichotokea ulichotarajia red cars/penati,draw ya magoli wala simba kupoteza kabisa.Hapo kati yangu na wewe nani mwenye uwezo juu ya kufkiria?
Ninashaka ya uwezo wako juu ya ufikiriaji... soma upya huo uzi
 
Hakuna kilichotokea ulichotarajia red cars/penati,draw ya magoli wala simba kupoteza kabisa.Hapo kati yangu na wewe nani mwenye uwezo juu ya kufkiria?
sare si imetiki au🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom