No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

No way Out, Matokeo ya kushangaza Leo katika gemu ya Almelekh vs Simba sc

Nimeota simba kafunga goli moja na ana point 9. Badae mkuje mtoe reference hii komenti [emoji16], wale wa betting wekeni 0-1
Mtani naifanyia kazi ndoto yako,mkeka ukitoka ntahakikisha mechi zenu za VPL mnashinda zote[emoji23]
 
Simba hajawahi kupoteza. Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan.

Nafikri timu pekee iliyowahi kuwafunga Simba ni Al Ahly Shandy hao wengine wote ni vibonde tu kwa Simba.

Hivi unakumbuka Al Hilal aliwahi kupigwa goli 6-0 na Simba pale uwanja wa Uhuru huku Abed Mulenga na Said Swedy wakipiga goli mbili kila mmoja.
Tuliza munkali mkuu sisi utopolo tunatafutia paku jisahaulisha ya juzi
 
Back
Top Bottom