Simba hajawahi kupoteza Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan.simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
Hata akipoteza bado atakuwa na mechi 2 home + 1 away.simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
Mkumbushe tushawapiga haohao melekh kwao 2 bila kabla ya half time wakatupiga mawe mechi ikavunjika wakakataa kutupa ushindi wakasema mechi irudiwe Simba wakajitoa ilikuwa robo fainal ya afrika mashariki na katiSimba hajawahi kupoteza. Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan...
Hawezi? Kwa hiyo walivyofungwa na Vita 4-1 walikuwa wako ardhi ya kidimbwi? Boresheni timu lenu bovu na sio kutegemea furaha zitoke nje ya nchi.simba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
Weka pesa simba win, weka 100000Simba hajawahi kupoteza. Mechi dhidi ya timu hizo kubwa za Sudan.
Nafikri timu pekee iliyowahi kuwafunga Simba ni Al Ahly Shandy hao wengine wote ni vibonde tu kwa Simba.
Hivi unakumbuka Al Hilal aliwahi kupigwa goli 6-0 na Simba pale uwanja wa Uhuru huku Abed Mulenga na Said Swedy wakipiga goli mbili kila mmoja.
Huwa Sibeti mkuuWeka pesa simba win, weka 100000
Hapa na mimi nasubiri majibuMechi SAA ngap wadau