SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Dua la nyani halimpati Simba. Lisilo na ubishi ni kuwa juzi mlikeketwa na kubikiriwa kwa mpigo pale MkwakwaniSimba leo hawataamini.Atapigwa si chini ya goli 4, baada ya mechi mtakumbuka hii post
Sijawahi kufail katika kazi yangu hii mkuuHayo ni maoni yako ya kiutopolo lakini sio kwamba ndio ukweli, yaani umeandika vile unavyotaka itokee maana hakuna uchambuzi wowote ulioufanya halafu unataka hao wengi waamini maoni yako ya kiutopolo.
Una umri gan dada mvaa vjora na madela? MUULIZE ZAMALEKsimba hawezi wafunga waarabu wale, mwarabu akiwa kwenye ardhi yake achana nae kabisa mkuu, simba amezoea kuonga na kuifanyia ujma yanga ila kule wameisha.
Tuombee Mungu tuingie robo fainali,kuna mzigo mrefu tutapata ntakutoa hata kidogo mkanunue vyandarua,unajua hostel yenu ipo kwenye majaruba Mbu ni wengi pale Jangwani.Me nikajua unanihakikishia kunipa mkwanja, mtani hivi lin utaacha ubahiri??[emoji16][emoji16][emoji16]
Achana na mbu, wale tushaingia nao ubia hata hawatupi shida. Sasa leo unaniachaje😆😆😆Tuombee Mungu tuingie robo fainali,kuna mzigo mrefu tutapata ntakutoa hata kidogo mkanunue vyandarua,unajua hostel yenu ipo kwenye majaruba Mbu ni wengi pale Jangwani.
Njoo whtsap 0764497393 nikupe file ya kutazam game ya Mnyama mkari ktoka kariakooJamani naomba link ya live streaming kwa game ya leo