Noah inazingua sana (linamiss na kuwaka taa ya check engine) naombeni msaada

Mimi yangu ina ugonjwa huo na inanuka petrol kinyama naombeni msaada.
Nina gari aina ya Noah new shape injin ya 1az.. Sasa limekua likisumbua miss muda mrefu hatimaye limebadilishwa vitu kabao hadi Sasa bado halijaaa sawa..
 
Asante sana na mimi nina gari hilo hilo noah voxy na lina tatizo kama hilo nimebadilisha plugs oxygen sensor vulve fuel pump ila bado tatizo lipo pale pale sijui inaweza kua tatizo liko wapi
 
Asante sana na mimi nina gari hilo hilo noah voxy na lina tatizo kama hilo nimebadilisha plugs oxygen sensor vulve fuel pump ila bado tatizo lipo pale pale sijui inaweza kua tatizo liko wapi

aisee hapo mlikuwa mnacheza kamari. Karibu Magomeni tufanye Diagnosis kama upo Dar.

Tuone kama kuna code, tuangalie na Live Data.
 
hahahahaha mashine ninazo zakutosha sio moja au mbili ww ukiwa na shida njoo nikupimie tena nitakufanyia bureee kabisa..
 
30,000/= kwa code za engine tu.

Pia kuna full system diagnosis ambayo gharama yake inaanzia 50,000/= mpaka 70,000/=.

Karibu
hahahaha kucheki fault code gari zakizamani labda vip unaweza fanya hivyo kuchek code kwenye nissan au gari zinazotumia CAN??
 
hahahaha kucheki fault code gari zakizamani labda vip unaweza fanya hivyo kuchek code kwenye nissan au gari zinazotumia CAN??

Mashine Ninayotumia ina OBD protocals 6 including hiyo CAN.

Nimeshafanya Diagnosis kwenye nissan kadhaa bila shida yoyote.

Kucheck code gari za kizamani zenye DLC 1 pia naweza kwa system zote za gari.
 
Mkuu hiyo diagnosis machine inauzwa bei gani?
 
Mkuu nukuulize swali moja.
Miaka ya nyuma kabla hizo diagnosis tools hazijasambaa Tanzania gari lako ulikuwa unapeleka wapi?japo sikatai kuwa mafundi wa mtaani huwa wanawanunulisha watu spares nyingi kwenye tatizo moja usipokuwa smart coz hata mimi ilishawahi kunikuta hiyo kitu.
 
hahahahaha mashine ninazo zakutosha sio moja au mbili ww ukiwa na shida njoo nikupimie tena nitakufanyia bureee kabisa..
nnayo ya kwangu sina wasiwasi, taa ikiwaka tu nachomeka, kama sina tools za kutatua namwambia fundi arekebishe kitu flani.
 
inategemea unataka kwa ajili ya shughuli gani, kwa binafsi tu ilimradi ujue nini inasumbua, hata za buku 50 zinapatikana. ila ukitaka kufanya kazi ki pro zaidi, zipo hata za mamilioni.
ooh sawa nitainunua kwa ajili ya gari yangu binafsi
 
ooh sawa nitainunua kwa ajili ya gari yangu binafsi

Mimi ushauri wangu kama mtu unaamua kununua Diagnostic Machine ni vema ukajua mapema OBD II protocal ya gari lako kwa maana hata hizi machine zinakuwa na protocal.

Sasa kama protocal ya machine na ya gari lako havimatch hiyo machine utakayonunua haitokuwa na msaada kwako.
 
ooh sawa nmekupata
 
Mkuu nina noah voxy engine 1az fse. Inakula mafuta sana na haina nguvu. Kwa kuwa mi ni mgeni wa magari mafundi wamekuwa wakipiga ramli na kuninunulisha vitu vingi vya gharama na shida imeendelea kuwepo.

Fundi wa kwanza aliniambia ni cylinderhead tukafungua engine nzima ikafanyiwa overhaul, kusaga valve na kuosha carbon. Shida ikaendelea kuwa vile vile ulaji wa mafuta, gari haina nguvu, na check engine light inawaka.

Fundi wa pili Nikabadilisha oxygen sensor pia, pump ya mafuta, fuel pressure pump(D4). Tatizo likaendelea vile vile.

Fundi wa tatu tukabadilisha fuel pump ya kwenye tank, fuel pressure pump(D4), Driver injector, Nozzles zote na bomba lake, MAF sensors lakini bado gari haina nguvu na ina misfiring na check engine light inawaka.
Jana nikaita fundi akaifanyia diagnosis na computer ikaleta code P0172 na Code P1349. Naomba msaada wa utatuzi wa tatizo langu. Nianzie wapi ?

JituMirabaMinne LEGE

inategemea unataka kwa ajili ya shughuli gani, kwa binafsi tu ilimradi ujue nini inasumbua, hata za buku 50 zinapatikana. ila ukitaka kufanya kazi ki pro zaidi, zipo hata za mamilioni.
Napataje hiyo diagnosis tool ya 50 nitakayaconnect na simu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…