JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
50k ni OBD2 code reader.inategemea unataka kwa ajili ya shughuli gani, kwa binafsi tu ilimradi ujue nini inasumbua, hata za buku 50 zinapatikana. ila ukitaka kufanya kazi ki pro zaidi, zipo hata za mamilioni.
Haipimi toyota kabla ya 2008. Atanunua haitamfaa atakulilia.