Noah inazingua sana (linamiss na kuwaka taa ya check engine) naombeni msaada

inategemea unataka kwa ajili ya shughuli gani, kwa binafsi tu ilimradi ujue nini inasumbua, hata za buku 50 zinapatikana. ila ukitaka kufanya kazi ki pro zaidi, zipo hata za mamilioni.
50k ni OBD2 code reader.

Haipimi toyota kabla ya 2008. Atanunua haitamfaa atakulilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…