Noah Saputu: Waziri wa Ardhi Wananchi Wanakutegemea Kutoa Haki

Noah Saputu: Waziri wa Ardhi Wananchi Wanakutegemea Kutoa Haki

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI

"Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.

"Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi, imepelekea wananchi kupata matatizo makampuni yamekimbia" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.

"Waziri wananchi wanakutegemea kutoa haki, Sheria ya Ardhi na mabaraza yaboreshwe kwani yanamkandamiza mwananchi " - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.

"Kwanini tunaendelea kung'ang'ania mabaraza chini ya Wizara? Bora yawekwe chini ya mahakama ili kutoa haki kwa Watanzania" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.
 

Attachments

  • FxCkgRfXoAIGHrj.jpg
    FxCkgRfXoAIGHrj.jpg
    24.2 KB · Views: 3
Uyo waziri nae fisadi TU
bill 47 kulipana posho tu kwny vikao kutoka kwenye pesa za mkopo wa benki ya dunia hainipi imani na uadilifu kwny huo uwaziri wake[emoji3525]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom