Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

njoo paje sheikh wangu hilo tatizo dogo, twalimaliza kwa usiku tu
Miaka ya nyuma kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo la aina hii, japo siyo la chakula. Yeye alikuwa amenunua shamba sehemu huku anaishi na wazazi wake. Shamba na makazi ya wazazi vilikuwa siyo mbali sana. Sasa ikatokea jamaa akasema kila anapoenda kuangalia shmba lake, kuna sehemu akifika, (kwenye njia panda) anaona kizunguzungu na kujisikia kama anataka kupoteza fahamu. Tatizo lilikuwa kubwa kiasi ambacho alikuwa ameacha kabisa kwenda kwenye lile shamba kwa imani kuwa kuna mtu alikuwa amemloga. Baadae kabisa kaka yake akaja kwa likizo nyumbani, (alikuwa anasomea udaktari nje ya nchi) akakutana na tatizo hili. Alichofanya kaka yake ni kumlazimisha kwenda shambani kila siku, kwa kupitia ile sehemu aliyokuwa anaiogopa mpaka zile hisia zikafutika. Ikaja kugundulika kuwa lilikuwa ni tatizo la kisaikolojia na hakukuwa na jambo lolote.
 
Unajua mkuu mimi nilikuwa natania, ila bongo kupata pesa ni rahisi sana sababu wajinga ni wengi😂😂 yaani hata Leo ukiamua kwenda zako kisarawe huko miezi sita tu ukirud mjini anhaa don
 
Uko sahihi mno. Ukitaka kupiga fedha Bongo jifanye una uwezo wa kutatua matatizo ya watu kwa njia ya mkato. Uwe Mtume, uwe Mganga wa jadi....
 
Mmmh Lakini kaka kuna mambo yameniibua anyway sawa ila kama una utaalamu wa hayo mambo sawa
Mkuu hapo hakuna shida yoyote labda useme ilianzaje anzaje yaani tu siku ya kwanza ulipomuona mtoto au ilikuwaje yaani? Kuna vitu sometimes huwa vinatokea ni mambo ya saikolojia tu.

Mm kuna kipind jiko la gesi lilikuwa nililwasha Linafanya puuh ikaenda kama mwezi kwahyo nikiwa naliwasha nakaa mbali kidogo halafu nashtuka. Akaja fund kunitengenezea lilikuwa halijafunga vzuri. Ile hali ya kushtuka ikawa inaendelea lakini jiko lipo vzuri kabisa. Halina shida baadae nikaanza kuzoea taratibu hali ikapotea
 
Mkuu kulingana na maelezo yako kweli una mimba haijalishi wewe dume. Ndo zake popo bawa akikutatuamarinda lazima utangaze hadharani ukikaidi anakutengenezea womb na uterus mgongoni na kukutia mimba. Jitahidi usiitoe mkuu mtoto ni baraka.
Unakatwaa mazafakaz
 
Mkuu hapo hakuna shida yoyote labda useme ilianzaje anzaje yaani tu siku ya kwanza ulipomuona mtoto au ilikuwaje yaani? Kuna vitu sometimes huwa vinatokea ni mambo ya saikolojia tu.

Mm kuna kipind jiko la gesi lilikuwa nililwasha Linafanya puuh ikaenda kama mwezi kwahyo nikiwa naliwasha nakaa mbali kidogo halafu nashtuka. Akaja fund kunitengenezea lilikuwa halijafunga vzuri. Ile hali ya kushtuka ikawa inaendelea lakini jiko lipo vzuri kabisa. Halina shida baadae nikaanza kuzoea taratibu hali ikapotea
Hapa nilpo nina tatizo la uchawi ndio maana ulivyoongelea hivyo nikaibuka na jambo
 
Back
Top Bottom