Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

Kula mahali ambapo hayupo kama mwezi hivi halafu uone matokeo.Chunguza pia chakula unachokula.
 
Ni ndugu yako? Labda unamchukia tu huyo dogo bro, mi kuna msosi fulani nilikula nikatapika baada ya hapo hadi leo kile chakula huwa nakichukia hata nikiona mtu mwingine anakula mi ndo nahisi kutapika.
 
Tabia za wajawazito hizo au hedhi, kama ni me unatuangusha wanaume wanzako mwanaume unatapikaje kizembe hivyo.
 
Yaani unatapika yapata miezi 5 mpaka sasa kila anapokutokea huyo mtoto?
 
Back
Top Bottom