Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

Mnaishi kwenye ndoto zenu, haya nani anawateka sasa.

Wewe unaweza amini Samia huyu anaweza hamuru polisi apige risasi raia mbele ya mkewe na mtoto wake kisa uenyekiti wa mtaa wa kijiji.

Mną safari ndefu ya kupambana na mafisadi.
SSH hawezi amuru hayo ila wanufaika wa mfumo ndio wanafanya hayo.

Pili unakuta watu wanaokulinda ndio wanafanya na wewe wanakupa mrejeshi huwezi au ni ngumu sana kusema waache maana Kiongozi ni kama mateka wa wanaokuzunguka na vile unataka madaraka unajikuta unakuwa docile tuu vinginevyo hao hao wanaweza fanya yao hata kwako.
 
Magufuli alikuwa katili na kwa kiasi kikubwa ukatili wake CCM wa sasa wameuona ni kama dili linalowalipa kuendelea nalo na ndicho wanachofanya.
 
Badp mimi naona maigizo tu wana balance hawaa ili waseme ACT nao wanatekwa......wale CDM wanawaua huyu nusu saa tu wamempata.....
 
Lissu aliikosoa serikali katika Hali ya umaskini
 
Badp mimi naona maigizo tu wana balance hawaa ili waseme ACT nao wanatekwa......wale CDM wanawaua huyu nusu saa tu wamempata.....
Nani anayeigiza kiasi Cha kuichafua serikali na serikali kukaa kimya licha ya kutajwa na watu wake Moja kwamoja, ilihali viongozi baadhi yao wa chama wametamka wazi wazi kujihusisha na matendo ya maporini na chinja chinja! Tusaidie hapo
 
Ukiwa na walinzi ndo hawakupati??Mbowe na wale makomandoo si kila siku wanambeba..watafanya nini?? Lema juzijuzi si katekwa kwenye ndege au hujui??
Unaamini hizi drama za wachaga basi wewe ni chizi!!
 
Mimi nadhani auawe tu kwani hana tija kutekwa kote huko hajaleta mabadiliko sasa wa nini
 
Hizi siasa za bongo kama umeamua kuwa mpinga serikali waziwazi unapaswa uwe makini, uishi kijasusi, unakata tiketi ya kigoma dar, ukifika dom usiku pale wanaposhusha mizigo, unashuka kinyamsisi.. Unapanda gari jingine, unajifunza make up mtandaoni, unakuwa unajipodoa kubadili muonekano, ikiwezekana yale masura bandia ya silicon unakuwa nayo, yaani wao wenyewe wanaona sasa tunamsaka james bond kudadeki.. Mitandaoni nako hivyo hivyo, unaishi kimafia na haya yote yanahitaji CHAPAA..
 
Wanaharakati lazima uwe na mafunzo, sio unakurupuka tu, unasafiri kama kiroba, mazoezi hauna, unachoweza ni kutukana jukwaani, ukiminywa kidogo unalialia, jifunze kwa wakina Che Guavara, Fidel Castro,
 
Asante kwa mchango huu
P
 
Hapa ndipo unapoona siasa sio rafiki kabsaaa.
 

Lissu aliikosoa serikali katika Hali ya umaskini
Labda Watekaji watafika 2050
 
Labda Watekaji watafika 2050
Hata 2050 hawtaaisha na nakuhakikishia umma usipoamka mambo yatazidi kuwa mabaya huko mbeleni sababu:
CCM imebadilika kutoka kuwa chama Cha siasa na kujiimarisha kuwa chama Dola chini ya mwamvuli wa siasa. Limejikita mizizi kwenye vyombo vya Dola ambayo msingi wake mkuu ni kutumia mabavu badala ya diplomasia mashauriano na majadiliano kwenye framework ya tolerance!
Chunguza kwa makini utagundua Hilo kwamba watumishi wa vyombo vya Dola ni wanyenyekevu kwa makada wa Ccm kwa dhana ya nilinde nikulinde!
 
Ndio inavyokuwa unadhani miaka ya mwisho ya Mugabe kabla ya jeshi kumtoa nchi alikuwa akiendesha yeye.

Mugabe alikuwa pambo tu ya wanufaika wa mfumo ambao walikuwa wakipigana abaki raisi kwa manufaa yao.

Ndio kinachoendelea Tanzania sasa hivi, Samia mwenyewe hajitambui kwanini agombee 2025.
 
Mnaishi kwenye ndoto zenu, haya nani anawateka sasa.

Wewe unaweza amini Samia huyu anaweza hamuru polisi apige risasi raia mbele ya mkewe na mtoto wake kisa uenyekiti wa mtaa wa kijiji.

Mną safari ndefu ya kupambana na mafisadi.
samia hawezi kuamuru hayo ya teka yule, au muue yule kamwe hawezi amuru hayo..labda tuseme ataagiza tu kwa wasaidizi kuhakikisha ccm inashinda..sasa kinachotokea wale waliopewa jukumu la kuhakikisha chama kinashinda kwa kupata kura nyingi nao wanajiongeza kivyao kwa njia wajuazo wenyewe na mbaya zaidi hawako smart kwenye mipango ila miovu tu mwisho wanaishia kuharibu..mkuu nae anakaa kimya bila kuchukua hatua hata kukemea tu hamna hapo atakosaje kunyooshewa kidole
 
Samia ni weak president kama anaitakia nchi mema atangaze mapema hatogombea.

Hii itasaidia wahuni na wazalendo kupanga kambi zao.

Vinginevyo ni mtu mżembu wa fikra tu anaweza amini Samia anaweza amuru kuumiza watu kwa sababu ya siasa.

Yaani aache kuwapachikia kesi wanaomsumbua huko CCM, akauwe raia wanyonge. Hizo ni akili za mafisadi tu ambao washazoea kutoa kafara maisha ya watu, lakini Samia hawezi amuru watu wafe kisa siasa za serikali wa mtaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…