Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

Mbeya.

Chadema ina walinzi waliopitia mafunzo ya ukomando na walikamatwa viongozi na mmoja hajatolewa hadi leo na wanadai muda anachukuliwa alikua anapigwa.

Na makomando wapo hapo
Kwa cheo chake ndani ya chama anastahili awe na mtu wa kumsindikiza popote anapokwenda..
 
wewe unaona imekaa sawa kukaa kimya watu wanatekwa wengine ni vijana kabisa km kina soka na yule chaula..Rais ni mzazi, ni mlezi wa watu wote..jambo lolote la kuleta maumivu kwa watu lazima aseme kuleta faraja kwa wahusika, asipofanya hivyo..anapoteza nafasi ya yeye kuwa mzazi na mlezi wa watu anaowaongoza!
 
Mjitahidi simu zenu wanasiasa muwe mnafuta meseji la sivyo mraponzana wengi.
 
Hana uwezo wa kuendesha wa nchi, hajui majukumu yake.

Huyo mama tukubaliane hana uwezo wala akili ya kuendesha nchi.

Mengine ni michezo ya power struggles tu za watu wajinga. Yaani wewe na akili zako timamu Mangę akwambie huyo mama atawaua sana (hiyo si ni psychological) preparation ya hela za mafisadi.

Akili zenyewe hao mafisadi wanazo basi kwa nchi ya maafisa usalama imara.

Kinachokera hapa ni kupoteza maisha ya watu wasio na hatia kwa siasa za kurembuliana macho ndani ya CCM.

Siasa za wazungu wanakuvaa kwa katiba ya chama, hakuna kuficha nia; mbaya zaidi kwa kuchukua uhai wa raia wanyonge; why?

Mama hana uwezo kama kumvaa unda kambi yako mvae, mtu kabadili maafisa usalama wannę ndani ya miaka mitatu ina maana huko juu hawamkubali inabidi umvae kwa kutoa kafara maisha ya wetu kweli.

Samia ni weak na hizo akili za kuendesha nchi hana, lakini kuuwa raia hapana hiyo ni shughuli ya mafisadi (na yenyewe yasio na akili) yanayoitaka nafasi yake kwa kumchafua kwanza.

Mi ndio maana napenda siasa za uingereza, jamaa akina bwana huyu kiongozi wetu mizenguo anapanga kambi yake wanakuvaa tu hakuna kuoneana aibu,

Sio sisi uchawi mtupu wa kutekana kuuwa raia wasio na hatia ilimradi kuchafuana.
 
Mbeya.

Chadema ina walinzi waliopitia mafunzo ya ukomando na walikamatwa viongozi na mmoja hajatolewa hadi leo na wanadai muda anachukuliwa alikua anapigwa.

Na makomando wapo hapo
Tofautisha kutekwa na kukamatwa naamini wangekuja kwa dhumuni la kuteka story ingekua ni tofauti

Ulitaka hao Makomando wapambane na jeshi la polisi ambao wapo kwenye oparesheni?
 
Ungejikita kwenye Kukemea utekaji bila kujali nani au mwenye mlengo gani anatekwa, Maana kwenye kutekwa kwa sasa hakuchagui anatekwa yoyote na kuuawa

Hivi vitendo vikiendelea itafikia hatua una ugomvi na mtu mtaani wa kibiashara au wa mademu anakukodishia hao watekaji wanakumaliza
 
Mitandao ya simu inalengesha victims, Tiss/ Polisi walijuaje location ya Nondo.?
 
Mnaishi kwenye ndoto zenu, haya nani anawateka sasa.

Wewe unaweza amini Samia huyu anaweza hamuru polisi apige risasi raia mbele ya mkewe na mtoto wake kisa uenyekiti wa mtaa wa kijiji.

Mną safari ndefu ya kupambana na mafisadi.
Kwamba kuruhusu mpaka amwambie askari kwa mdomo kwamba piga huyo risasi

Ukimya wake kama mkuu wa nchi kwa haya matukio yanaoendelea watu watatafsiri vipi? Na alitoka mbele ya Umma akasema ni vi drama drama, kwa nini asingewaamuru kua wakomeshe hayo mauaji na utekaji?

Ripoti ya Uchunguzi wa mzee Kibao vipi, na Akina soka uchinguzi unasemaje?
 
Umeongea kitu muhimu sana, yaani unapanda gari la kigoma had dsm ,bila hata kubadili route , na unajijua ni mpinzani wa serikali ,
 
Yule deo wale polisi walitumwa kwenda kumtemesha hela

Ova
 
kama hajafanyiwa oparesheni ndogo kwenye jicho basi ashukuriwe mungu
 
Unasema wanamchafua mbona hakemei ? Yaani wewe uchafuliwe kwa matukio makubwa hivo ukae kimya ? Inaingia akilini
 
Wakikukamata Nayo hayo madude jua kabisa umeisha wanakupa kesi ambayo itakuweka gerezani mpaka unakufa kwa kisingizio cha uchunguzi haujakamilika au wanakupa kesi ya Mauaji
 
Raisi Samia ni kama mateka kwa sasa, kati ya vita vya watu wengine.

Otherwise mtu mwenye kuendesha nchi huu ungekuwa ugomvi wake binafsi kwa kwa kuengua watu wanaomuharibia kazi.

Akili hizo hana yeye kazungukwa na watu anao amini watamlindia uraisi wake, matatizo mengine wamalizane nayo
wahusika.

Sasa kati ya watu aliowaamini kuna mapandekizi yanayompa ushauri mmbovu, lakini yeye mwenyewe akili hana.

Huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…