Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

Huyu ilibidi iwe hivo maana tayari picha ilishaungua,ila land cruiser waliikuta pale nje na picha za ushahidi ,

Hivo ilibidi aachiwe , bila hivo asingerudi
Unaweza kuwa sahihi kabisa.
 
Tusidanganyane bana ,Rais kwenye hii nchi ana mamlaka kuliko hata katiba ,anaweza kusigina hata katiba ,

ile Sheria ya usalama wa Taifa kaipitisha yeye,

Polisi na vyombo vya usalama hawawezi kufanya kitu au kukurushia risasi bila order
 
Tusidanganyane bana ,Rais kwenye hii nchi ana mamlaka kuliko hata katiba ,anaweza kusigina hata katiba ,

ile Sheria ya usalama wa Taifa kaipitisha yeye,

Polisi na vyombo vya usalama hawawezi kufanya kitu au kukurushia risasi bila order
Soma posts zangu kwa makini
 
CC Pascal Mayalla na Kadhi Mkuu 1
 
Unaweza kuwa sahihi kabisa.
Pia Zitto ana access ya Rais ,rejea issue ya Sativa , So Zitto nilijua atapambana sana kijana wake arudi,

Mtu akitekwa ,pale mwanzo kwenye taarifa ndio Huwa pa muhimu sana ili arudi,pakiwa hakuna taarifa ya kueleweka kurudi ni asilimia ndogo sana .

Tukio la nondo, kwanza namba ya gari ilivuja , pale Pana CCTV camera, Gari imekutwa Gogoni,

Mwenye ile namba ya IST ,ile gari yake nimeona Gerrard hando anasema ni imepakiwa pale polisi, pingu na simu ya muhusika vilidondoka pale Bus stand

So kwa mazingira hayo picha ilishaharibika , solution ni kumrudisha tu
 
Na utashangaa hakuna anaekamatwa.
 
Kwamba akiwa na gari binafsi ndio hawezi kutekwa ama kufa mapema?
 
Jiwe na mrithi wake wote wale wale wote wanaenda 🔥 kuteseka kwa dhambi za mauaji na utekaji
 
Hawa wachunguzwe wakijulikana tu wanachomwa moto
 
Ulishwahi kuona mambo ya utekaji kama huu kabla ya raisi Samia.

Hizi ni tabia ambazo hao-hao hakina Zitto walizi promote.

Ni hivi watu ambao washazoea kutoa kafara za watu kwa sababu ya mafanikio yao ndio wanaweza fanya.

Washafikia hatua kwa nafasi zao maisha ya watu hayana thamani tena, mbaya zaidi wanauwezo wa kuunda vikundi vya wahuni ndani ya vyombo vya usalama na kuviamuru.

Lakini Samia hawezi uwa mtu, kwa madaraka ana mbinu za kupambana na wanaomtishia nafasi yake.

Haya ni mambo ya kuchafuana tu yaani polisi wampige risasi mtu mbele ya mkewe na mtoto wake.

Aargh
 
Yapo toka kipindi cha Nyerere,Kwa JPM sababu ya media yalionekana sana ,Mo ,Roma , n.k
 
Kuna
Una hoja mkuu hawa jamaa too local siasa gani za kujirisk kudwanzi hivi?Siasa za kibongo usenge tu bora kijana ufuge nguruwe tu kuliko kuyataftia majitu ugali
 
Yapo toka kipindi cha Nyerere,Kwa JPM sababu ya media yalionekana sana ,Mo ,Roma , n.k
Hadharani mbele ya kadamnasi?

Embu taja tukio moja la mtu kutekwa mbele ya watu kipindi cha JK na Magufuli;; hapo si tayari kulikuwa na social media.
 
BINAFSI SIPENDI MATUKIO YA AINA HII, NI WAKATI SASA VYAMA VYA UPINZANI VIWEKE MITEGO YAO HAWA WATEKAJI WAKAMATWE, NA WAWASULUBU VIKALI,MFANO KIONGOZI WAO AKISAFIRI KWENYE POINT OF DESTINATION PAWEPO NA WALINZI, YAFANYWE HAYA KWA WALE WALIOPO KATIKA HATARI. (EASY TRAP)
 
Hadharani mbele ya kadamnasi?

Embu taja tukio moja la mtu kutekwa mbele ya watu kipindi cha JK na Magufuli;; hapo si tayari kulikuwa na social media.
Mo alitekwaje?
Yaani wewe hoja yako sio kutekwa ,hoja yako kutekwa hadharani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…