Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

Mo alitekwaje?
Yaani wewe hoja yako sio kutekwa ,hoja yako kutekwa hadharani?
Huko sasa ndio ‘kujitekenya na kucheka mwenyewe’ inaandika vitu ambavyo majibu yako unayo.

Wakati unajua swala ni kutekwa hadharani na kupatikana mauti au umeumizwa.

Hata huyo Mdude zama za Magufuli alionywa sana kwenye page yake ya na JF aache matusi, dogo alikuwa aelewi somo mpaka yalipo mkuta ya kumkuta.
 
Hata wewe pia ni useless
 
duuh! mkuu kwa nondo zako hizi utakuwa unafahamu mengi yaliyojificha huko juu ongeza nyama zaidi fungua code....hata mm napata mashaka sana kwa ukubwa wa rais na madaraka yake ya kutisha..ni nani hao wanaojaribu kumzunguka bosi mkubwa mbona ni ishu ndogo sana kwake kuwashughulikia wanaomuharibia hata kwa magu yalikuwa haya haya ya watu kukutwa kwenye viroba hadi ikamjengea visasi na kuchukiwa na watz wengi....ama kweli siasa mchezo mchafu
 
Wakikukamata Nayo hayo madude jua kabisa umeisha wanakupa kesi ambayo itakuweka gerezani mpaka unakufa kwa kisingizio cha uchunguzi haujakamilika au wanakupa kesi ya Mauaji
Tuwe wapole, tuishi tu, siku ikifika TUISHIE
 
Kikubwa amepatikana anapumua,ila inatisha sana..Kila mtu ajilinde Kadri awezavyo.Uko nje pamoto kweli.
 
Ni kweli..lkn sidhani mafisadi unaosema wana nguvu hiyo ya kuelekeza utekaji..kwa kutizama tu kuna tatizo kubwa ndani ya tiss hakuna mahali popote taasisi km tiss inajiamulia wanavyotaka na kuingilia kila eneo vile wanataka wao.. tiss ya hapa ni dhoofu sana kimaono, hawawezi hata kujireview waone relevancy ya uwepo wao kwenye usimamizi wa nchi una mahitaji gani kwao..they have no idea! wanachofahamu sasa ni ccm kubaki kutawala..mfano nini sababu ya kuleta sheria itoe amnesty kwao..kwa kitu gani hasa ili wafanikishe nini kwa nchi?
Mambo za kutaja mafisadi ni nadharia tu..root cause ya haya yote ni tiss mbovu! na imetokeaje..ni kwa sababu wastaafu isipokuwa Mkapa wanataka kuendelea kutawala kwa kupitia wao tiss! angalia watu wanaowaleta kwenye uongozi..weak people! baraza lote la mawaziri linaundwa na weak people..individuals who cannot ask why this! why now..na wame-abuse sana duty ya kufanyia vetting wateuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…