Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Huko kuunga unga ndiko kunakotakiwa sasa yani;Siku zote anaejifanya kukosoa lugha utakuta yeye kasoma kwa kuunga unga hata akitaka kuandika anatumia dictionary [emoji3]
Hata nawe usiyekufa kizembe bado utakufa tu muda ukifika, ni wajibu wako kufa wala hubembelezwi kama mtoto mdogoAtakufa kizembe kama huyo mwenzie ambaye sasa hayupo.
Marekani kwa miaka zaidi ya kumi ilipiga mabomu Vietnam mengi zaidi ikatumia napalm bombs, incendiary explosives, carpet bombing kwa kutumia B-52s na hadi kufikia kutumia kemikali za Agent Orange kutoka kampuni ya Monsanto tena hizo ndio zinaharibu mimea hadi leo. Lini Vietnam ilipata njaa kutokana na mabomu ya Marekani?North Korea Ina njaa muda Mrefu sana, ila jiulize njaa ya North Korea imetoka wapi? Njaa imetokana na Mabomu ya Marekani.
Marekani Alipiga Mabomu na kuua watu Takriban Milioni 8, na Kuifanya Ardhi yote isilimike. For years Wakorea wanabadili Ardhi yao kutoka Ardhi isiolimika mpaka Sasa North Korea Ni kati ya nchi zinazoongoza Uzalishaji wa matunda Duniani.
Hivyo Kuijudge North Korea ya miaka ya zamani kuwa na njaa bila kumponda alieleta hio njaa Na kuua mamilioni ya watu si fair.
Sasa hivi
Njoo hapa na chanzo chako cha Uhakika.Kweli Elimu yakujitambua Nimuhimu sana Kwa Yaani umeenda kutafuta Chanzo Chakipumbavu nawe Ukaridhia!!
BurekabisaKweli Elimu yakujitambua Nimuhimu sana Kwa Yaani umeenda kutafuta Chanzo Chakipumbavu nawe Ukaridhia!!
Tofautisha Eneo dogo la Nchi kupigwa Bomu na Karibia Nchi Nzima.Marekani kwa miaka zaidi ya kumi ilipiga mabomu Vietnam mengi zaidi ikatumia napalm bombs, incendiary explosives, carpet bombing kwa kutumia B-52s na hadi kufikia kutumia kemikali za Agent Orange kutoka kampuni ya Monsanto tena hizo ndio zinaharibu mimea hadi leo. Lini Vietnam ilipata njaa kutokana na mabomu ya Marekani?
Lini Japan ilipata njaa kutokana na mabomu. Lini Ujerumani au Ufaransa zilipata njaa kisa mabomu. Unaongea as if North Korea ndio ya kwanza na wa mwisho kupigwa mabomu
Kama ni Google ni hao hao ambao wamiliki wake ni adui wa North Korea wakubwa, kwahiyo huna tofauti na Mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe.