North Korea Cars

North Korea Cars

Siku zote anaejifanya kukosoa lugha utakuta yeye kasoma kwa kuunga unga hata akitaka kuandika anatumia dictionary [emoji3]
Huko kuunga unga ndiko kunakotakiwa sasa yani;
*Chekechea 2 yrs.

*Primary 7 yrs.

*Secondary 6 yrs (form one - four = 4 yrs + High school/form five - six = 2 yrs).

*University = 3 yrs.

Total 18 yrs = Elimu ya kuunga unga sababu hajafika tu elimu ya Chuo kikuu kabla ya kuanzia chekechea.
 
Safi,naamini Kuna hali ya utulivu wa juu, migari mingi inaleta taharuki ya kelele,na ajali nyingi.halafu kule wanafuga Sana farasi ,nazani wengi hasa vjjjn wanatumia farasi !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
North Korea Ina njaa muda Mrefu sana, ila jiulize njaa ya North Korea imetoka wapi? Njaa imetokana na Mabomu ya Marekani.

Marekani Alipiga Mabomu na kuua watu Takriban Milioni 8, na Kuifanya Ardhi yote isilimike. For years Wakorea wanabadili Ardhi yao kutoka Ardhi isiolimika mpaka Sasa North Korea Ni kati ya nchi zinazoongoza Uzalishaji wa matunda Duniani.

Hivyo Kuijudge North Korea ya miaka ya zamani kuwa na njaa bila kumponda alieleta hio njaa Na kuua mamilioni ya watu si fair.

Sasa hivi
Marekani kwa miaka zaidi ya kumi ilipiga mabomu Vietnam mengi zaidi ikatumia napalm bombs, incendiary explosives, carpet bombing kwa kutumia B-52s na hadi kufikia kutumia kemikali za Agent Orange kutoka kampuni ya Monsanto tena hizo ndio zinaharibu mimea hadi leo. Lini Vietnam ilipata njaa kutokana na mabomu ya Marekani?

Lini Japan ilipata njaa kutokana na mabomu. Lini Ujerumani au Ufaransa zilipata njaa kisa mabomu. Unaongea as if North Korea ndio ya kwanza na wa mwisho kupigwa mabomu
 
Marekani kwa miaka zaidi ya kumi ilipiga mabomu Vietnam mengi zaidi ikatumia napalm bombs, incendiary explosives, carpet bombing kwa kutumia B-52s na hadi kufikia kutumia kemikali za Agent Orange kutoka kampuni ya Monsanto tena hizo ndio zinaharibu mimea hadi leo. Lini Vietnam ilipata njaa kutokana na mabomu ya Marekani?

Lini Japan ilipata njaa kutokana na mabomu. Lini Ujerumani au Ufaransa zilipata njaa kisa mabomu. Unaongea as if North Korea ndio ya kwanza na wa mwisho kupigwa mabomu
Tofautisha Eneo dogo la Nchi kupigwa Bomu na Karibia Nchi Nzima.

Nagasaki na Hiroshima haifiki hata 10% ya Japan.

Mabomu yaliyopigwa North korea yamesomba 1/3 ya population yote, hao ni waliokufa Achana na casualities Nyengine. Kwa Dunia yetu ya sasa Hayo ndio maafa makubwa kabisa ya Vita Kupata kutokea kwa Nchi, even World war II ukiangalia Ratio haifikii hii.

imagine sasa Ardhi isio na Rotuba Kaskazini kabisa mwa Dunia kwenye Barafu, inapigwa mabomu ambayo yanasababisha Ardhi isilimike mnatoka Vipi hapo?

Jamaa wamekomaa kila mwaka wanairutubisha Ardhi yao mpaka leo hii 2022 Ni moja kati ya Nchi zinazoongoza Kwenye Kilimo, Jamaa wanastahili pongezi na sio hizi Propaganda za Marekani ambaye ndio Muuaji Mkubwa aliewaua mababu zao kwa Mamilioni.
 
Kama ni Google ni hao hao ambao wamiliki wake ni adui wa North Korea wakubwa, kwahiyo huna tofauti na Mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe.

Kila nchi ina mambo yake na maamuzi yake
Siwezi kuongelea huko zaidi ya kusoma au kuuliza
Nchi nilizotembelea naweza kuzielezea kwa ufasaha zaidi ila hizo ambazo sijafika sina la kuongeza
Bali nawajua wako vizuri kwenye silaha huenda siku moja nikaenda kutembea nikaingiza kwenye kumbukumbu zangu za nchi nilizotembelea

Natamani siku moja iwe Kweli
Ila [emoji631] sio chaguo langu hata kwa bure
Mimi naamini ninachoamini
Nimekaa Iraq, na maeneo mengi sana duniani Kwa hiyo siwezi kushangaa propaganda na hata ukweli yote nimeyaona nchi zaidi ya 30
 
Back
Top Bottom