masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Nostradamus predictions 2023
Huyu jamaa anaitwa Nostradamus alizaliwa mwaka 1503.
Kati ya mambo alyowahi kutabirina yaka tokea
- Kujitokeza kwa Adolf Hitler, Vita Kuu ya II, World trade Centre na September 11 ya wale jamaa wa siasa kali
- Alitabiri kujitokeza kwa CORONA, coronavirus pandemic
- Sasa kuna utabiri kwa 2023
Nostradamus is believed to have accurately predicted landmark events, such as the rise of Adolf Hitler, World War II, the September 11 terrorist attack and the French Revolution, that have shaped our world.
Huyu Mfaransa na mnajimu altabiri matukio zaidi ya 6,338 na hata mwisho wa dunia kama tunavyoifahamu.
Utabiri mwingine,
Huyu Nostradamus vile vile alitabiri mwisho na kifo cha Malkia Elizabeth kutokea kati 2021 na 2022.
Unajimu wa Nostradamus kwa mwaka 2023
World War
Kwamba vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi vinaweza kugeuka kuwa Vita Kuu ya III.
AU Msuguano kati ya China na Taiwan inaweza leta Vita Kuu ya Tatuitakayoingiza Marekani katika vita hiyo.
Binadamu kutua Mars
Nostradamus alitabiri kuwa binadamu mwaka 2023 atatua Mars.
Elon Musk tayari amechukua hilo kuwa azimio lake kuwa kuanzia 2023 hadi 2029, lazima atafadhili binadamu kutua Mars.
Papa Mpya
Nostradamus' ametabiri kuwa Pope Francis wa sasa ndiye Pope wa ukweli na atapatikana Papa ambaye ni fiksi na atakuwa na maskandali mengi
Kutokea a New World Order
Nostradamus alitabiri kuwa kutatokea muundo mpya wa kimaisha na uchumi duniani.
Hii ina maana inawezekana Dollar ikaisha matumizi yake na ikaibuka Yuan ya China kama hela ya kuendesha uchumi wa dunia.
Tusipanic wandugu, huu ni utabiri tu!
Ref: King Charles III's reign would be short, he will be replaced by Prince Harry: Fortune teller Nostradamus's writings
