SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,555
Ni nani huyoVipi aliyetabiri Rais Magufuli hatafika 2025?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani huyoVipi aliyetabiri Rais Magufuli hatafika 2025?
Uongo khaaa 5050 hivi unamchukuliaje Mungu we hamna ajuaye saa Wala (siku,wiki,mwezi,mwaka) isipokuwa Mungu tu aaah asee mnashikisha watu masikio kweliMatukio yote aliyatabiri miaka hiyo ya 1500 yameandikwa kwenye kitabu chake. Alitabiri akaenda mbele mpaka miaka ya sasa tunayoishi sisi na mwaka 2023 ndio aliona mambo hayo. Na mwisho wa dunia alionesha itakuwa mwaka 5050.
Kweli mkuuKama sikosei, alitabiri 2012 ungekuwa mwisho wa dunia? Halafu ikawaje? Utabiri ni utabiri tu. Sawa na kucheza kamali
Uongo khaaa 5050 hivi unamchukuliaje Mungu we hamna ajuaye saa Wala (siku,wiki,mwezi,mwaka) isipokuwa Mungu tu aaah asee mnashikisha watu masikio kweli![]()
Mengi ameongezaPrince Harry atamrithi King Charles kwa utaratibu upi? acheni fix...
Mwaka 2026 march 26 king charles chaliiMengi ameongeza
Niliposoma fix hiyo nikaacha kuendelea kusoma maana nikaona mwisho atasema alitabiri ujio wa magufuli
Yaani mwaka 1500 alikuwa anajua na Jina la Charles na Harry [emoji1] [emoji1787]
![]()
Nostradamus predictions 2023
Huyu jamaa anaitwa Nostradamus alizaliwa mwaka 1503.
Kati ya mambo alyowahi kutabirina yaka tokea
- Kujitokeza kwa Adolf Hitler, Vita Kuu ya II, World trade Centre na September 11 ya wale jamaa wa siasa kali
- Alitabiri kujitokeza kwa CORONA, coronavirus pandemic
- Sasa kuna utabiri kwa 2023
Nostradamus is believed to have accurately predicted landmark events, such as the rise of Adolf Hitler, World War II, the September 11 terrorist attack and the French Revolution, that have shaped our world.
Huyu Mfaransa na mnajimu altabiri matukio zaidi ya 6,338 na hata mwisho wa dunia kama tunavyoifahamu.
Utabiri mwingine,
Kwamba utawala wa Mfalme Charles utakuwa mfupi, na atarithiwa na Prince Harry![]()
Huyu Nostradamus vile vile alitabiri mwisho na kifo cha Malkia Elizabeth kutokea kati 2021 na 2022.
Unajimu wa Nostradamus kwa mwaka 2023
World War
Kwamba vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi vinaweza kugeuka kuwa Vita Kuu ya III.
AU Msuguano kati ya China na Taiwan inaweza leta Vita Kuu ya Tatuitakayoingiza Marekani katika vita hiyo.
Binadamu kutua Mars
Nostradamus alitabiri kuwa binadamu mwaka 2023 atatua Mars.
Elon Musk tayari amechukua hilo kuwa azimio lake kuwa kuanzia 2023 hadi 2029, lazima atafadhili binadamu kutua Mars.
Papa Mpya
Nostradamus' ametabiri kuwa Pope Francis wa sasa ndiye Pope wa ukweli na atapatikana Papa ambaye ni fiksi na atakuwa na maskandali mengi
Kutokea a New World Order
Nostradamus alitabiri kuwa kutatokea muundo mpya wa kimaisha na uchumi duniani.
Hii ina maana inawezekana Dollar ikaisha matumizi yake na ikaibuka Yuan ya China kama hela ya kuendesha uchumi wa dunia.
Tusipanic wandugu, huu ni utabiri tu!
Ref: King Charles III's reign would be short, he will be replaced by Prince Harry: Fortune teller Nostradamus's writings
[emoji38] [emoji23] [emoji38] atakuwa BahamaMwaka 2026 march 26 king charles chalii
Mkuu nenepesha uelewa wako kwa kusoma.Sidhani kama yote hayo ni kweli alitabiri. Ni upuuzi tu uliozoeleka mitandaoni ambapo watu maarufu wanasingiziwa mambo kwa kuwapachikia. Hakuna mtu anayeweza kutabiri vitu exact namna hiyo. Hata upuuzi unaoitwaga utabiri wa kwenye vitabu kama Biblia na Quran hauko exact. Ni maneno ya jumla jumla tu ambayo mtu anaweza kuyapa maana ile anayotaka ili kutetea imani yake.
Kama una ushahidi wa vitabu vya Nostradamus basi vitaje kwamba ni kitabu gani, cha mwaka gani, ukurasa wa ngapi ameandika kila utabiri unaousema.
Facts! Matukio yote yalishapangwa na TPTB sijui ndo illuminati..Sio kama anatabiri hivyo vitu vinapangwawas na wao wenyewe alaf yeye ndio baadae anajifanya kama anatabiri lakini wanakuwa wameshaunda jins mipangilio yao wanavyotaka iwe
Ndo mashetani wakuu alafu mtu atatetea eti hii ni edited picHao mapapa sio wa kuwaaminiView attachment 2465732View attachment 2465733
Vatican yenyewe ni muundo w nyokaView attachment 2465734
Kujua idadi na majina ya vitabu alivyoandika mtu yeyote sio shida. Hiyo ni kazi ndogo kwa gugo.Mkuu nenepesha uelewa wako kwa kusoma.
Nostradamus aliandika vitabu si chini ya 32.
Unaweza kuvinunua mtandaoni.
View attachment 2465685View attachment 2465686View attachment 2465686