Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuamini Google.Hakuna kitabu kinaitwa hilo jina
Kwani huoni kinachoendelea Ukraine. Russia anapigana na ma LGBT kama yote.Kuhusu Vita 3 haiwez kutokea
Ww utakuwa ni kapuku flani hv. Huna mbele wala nyuma unaombea vita!!??Hiyo vita tungeamka nayo hata kesho ingefaa sana
Mkuu usiamini hayo madude ya wikipedia, alafu wenzako walishapangilia artificial disaster miaka kibao huko nyuma so, wanachofanya kwa kizazi cha mbele ni kutekeleza tu.Michel de Nostredame (December 1503 – July 1566), usually Latinised as Nostradamus,[a] was a French astrologer, apothecary, physician, and reputed seer, who is best known for his book Les Prophéties (published in 1555), a collection of 942 poetic quatrainsNostradamus - Wikipedia allegedly predicting future events.
Nostradamus's father's family had originally been Jewish, but had converted to Catholic Christianity a generation before Nostradamus was born.
Ref: Nostradamus - Wikipedia
Una maana gani huo mstari?A say from another FORTUNE TELLER
Matukio yote aliyatabiri miaka hiyo ya 1500 yameandikwa kwenye kitabu chake. Alitabiri akaenda mbele mpaka miaka ya sasa tunayoishi sisi na mwaka 2023 ndio aliona mambo hayo. Na mwisho wa dunia alionesha itakuwa mwaka 5050.Mtabiri alizaliwa miaka ya 1500,bado ana endelea kutabiri???
We huelewi kwamba hii ni chai mkuu?Mtabiri alizaliwa miaka ya 1500,bado ana endelea kutabiri???
What's the difference? Enlighten me brother.Kama una ufahami wa Futurology basi huwezi kusema kwamba Nostradamus alikua mtabiri na alitabiri mambo mengi yajoyo. Ndio maana tabiri zake nyingi zimeiua zikipingwa na maguru wa Astrology na Utabiri. Kiufupi naweza kusema jamaa alikua Futurist na sio actual Seer
Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.What's the difference? Enlighten me brother.
Hasante kwa ElimuFuturology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.
Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.
Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi.
Hao ni Futurist..
Lakini Seer ni watu kama akina shehe yahaya.
So Nostradame was merely a Seer not a Futurist
Haina shida Sir.Hasante kwa Elimu
Nafikiri huyo Mtabiri alizungumzia Bitcoin.Chinese YUAN will never ever lead the WORLD as a VEHICLE CURRENCY.....
That is their fate...... According to another FORTUNE TELLER....
Na biblia imo?Hakuna na hajawahi kuwepo mtu aitwaye Nostradamus wala yule Shakespear.
Nostradamus ni White's Book of Events. Wenzetu wamepangilia matukio yote na wanayatimiliza kila muhula ulipofika.
Nina kitabu kinaitwa ATILENCIOGOCOOLICALISTS kimeelezea huu upuuzi wa wazungu
AmenKuhusu Vita 3 haiwez kutokea
Bankman huyo kawa fuckmanCrypto haiwezi kutawala dunia... tena inaenda kufa soon... Marekani hawezi kuruhusu Crypto itawale maana hiyo itasababisha Dollar ianguke.. na Dollar ikianguka hatuna taifa la Marekani
Fuatilia issue ya FTX utaelewa ninachosema