Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839

Nostradamus predictions 2023

Huyu jamaa anaitwa Nostradamus alizaliwa mwaka 1503.

Kati ya mambo alyowahi kutabirina yaka tokea
  • Kujitokeza kwa Adolf Hitler, Vita Kuu ya II, World trade Centre na September 11 ya wale jamaa wa siasa kali
  • Alitabiri kujitokeza kwa CORONA, coronavirus pandemic
  • Sasa kuna utabiri kwa 2023

Nostradamus is believed to have accurately predicted landmark events, such as the rise of Adolf Hitler, World War II, the September 11 terrorist attack and the French Revolution, that have shaped our world.

Huyu Mfaransa na mnajimu altabiri matukio zaidi ya 6,338 na hata mwisho wa dunia kama tunavyoifahamu.
Utabiri mwingine,

Kwamba utawala wa Mfalme Charles utakuwa mfupi, na atarithiwa na Prince Harry



Huyu Nostradamus vile vile alitabiri mwisho na kifo cha Malkia Elizabeth kutokea kati 2021 na 2022.



Unajimu wa Nostradamus kwa mwaka 2023
World War
Kwamba vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi vinaweza kugeuka kuwa Vita Kuu ya III.
AU Msuguano kati ya China na Taiwan inaweza leta Vita Kuu ya Tatuitakayoingiza Marekani katika vita hiyo.

Binadamu kutua Mars
Nostradamus alitabiri kuwa binadamu mwaka 2023 atatua Mars.

Elon Musk tayari amechukua hilo kuwa azimio lake kuwa kuanzia 2023 hadi 2029, lazima atafadhili binadamu kutua Mars.

Papa Mpya

Nostradamus' ametabiri kuwa Pope Francis wa sasa ndiye Pope wa ukweli na atapatikana Papa ambaye ni fiksi na atakuwa na maskandali mengi

Kutokea a New World Order
Nostradamus alitabiri kuwa kutatokea muundo mpya wa kimaisha na uchumi duniani.
Hii ina maana inawezekana Dollar ikaisha matumizi yake na ikaibuka Yuan ya China kama hela ya kuendesha uchumi wa dunia.

Tusipanic wandugu, huu ni utabiri tu!
Ref: King Charles III's reign would be short, he will be replaced by Prince Harry: Fortune teller Nostradamus's writings
 
Chinese YUAN will never ever lead the WORLD as a VEHICLE CURRENCY.....

That is their fate...... According to another FORTUNE TELLER....
 
Hakuna na hajawahi kuwepo mtu aitwaye Nostradamus wala yule Shakespear.

Nostradamus ni White's Book of Events. Wenzetu wamepangilia matukio yote na wanayatimiliza kila muhula ulipofika.

Nina kitabu kinaitwa ATILENCIOGOCOOLICALISTS kimeelezea huu upuuzi wa wazungu
 
Michel de Nostredame (December 1503 – July 1566), usually Latinised as Nostradamus,[a] was a French astrologer, apothecary, physician, and reputed seer, who is best known for his book Les Prophéties (published in 1555), a collection of 942 poetic quatrainsNostradamus - Wikipedia allegedly predicting future events.

Nostradamus's father's family had originally been Jewish, but had converted to Catholic Christianity a generation before Nostradamus was born.
Ref: Nostradamus - Wikipedia
 
Ahhh pumbavu kabisa mpaka leo waishi kwa tabili..Ni kwambie ukweli mwaka 2023 ni wa neema sana.urusi watakomesha vita na watakuwa marafiki wa ukrene.
 
Naomba unipassie coppi(soft) ya hicho kitabu kama inawezekana.

Nafuatisha shukrani.
 
Same as Shakespear
 
Hata mimi kuna mzungu anakaa Arusha aliwahi niambia hakuna kitu kama hicho
 
Wazungu wametengeneza, hakuna kitu kama.hicho,
 
Sisi tunamjua mtabiri wetu mmoja tu wajamii forum yule aliyetabiri tukio la ndege hao wengine watulie tuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…