Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

Yule mtabiri wetu wa hapa jf alotabiri ile ndege kuzama ziwani ye pia tumshirikishe.
 
MIMI NAMUAMINI SANA BABA VANGA. HUYU MAMA KIPOFU ALITABIRI MAMBO MENGI YALIYOTOKEA NA YANAYOTOKEA SASA. JARIBU KUMSOMA PIA HUYU.
 
Sijui huyu Nostradsmus alitabiri vipi juu ya waafrika?
 
Chinese YUAN will never ever lead the WORLD as a VEHICLE CURRENCY.....

That is their fate...... According to another FORTUNE TELLER....
Never say never

Uchumi wa China ndo utaamua hicho kitu kitokee.. ila inaweza kuchukua muda sana kwa Yuan kuipindua Dollar
 
Uongo mtupu wanamkuza tu huyo sheikh yahaya uchwara..
 
Kama una ufahami wa Futurology basi huwezi kusema kwamba Nostradamus alikua mtabiri na alitabiri mambo mengi yajoyo. Ndio maana tabiri zake nyingi zimeiua zikipingwa na maguru wa Astrology na Utabiri. Kiufupi naweza kusema jamaa alikua Futurist na sio actual Seer
 
Sio kama anatabiri hivyo vitu vinapangwa na wao wenyewe alaf yeye ndio baadae anajifanya kama anatabiri lakini wanakuwa wameshaunda jins mipangilio yao wanavyotaka iwe
 
Hakuna kitabu kinaitwa hilo jina
 
Huyu jamaa hata vilivyodaiwa kuwa utabiri wa Nostradamus katika kitabu The man who saw tommorow havijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…