Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

Mkuu usiamini hayo madude ya wikipedia, alafu wenzako walishapangilia artificial disaster miaka kibao huko nyuma so, wanachofanya kwa kizazi cha mbele ni kutekeleza tu.
 
Mtabiri alizaliwa miaka ya 1500,bado ana endelea kutabiri???
Matukio yote aliyatabiri miaka hiyo ya 1500 yameandikwa kwenye kitabu chake. Alitabiri akaenda mbele mpaka miaka ya sasa tunayoishi sisi na mwaka 2023 ndio aliona mambo hayo. Na mwisho wa dunia alionesha itakuwa mwaka 5050.
 
Kama sikosei, alitabiri 2012 ungekuwa mwisho wa dunia? Halafu ikawaje? Utabiri ni utabiri tu. Sawa na kucheza kamali
 
Huyu mama Mbulgaria kipofu (alipata upofu kutokana na tetemeko lililotokea huko Bulgaria akafunikwa na kifusi kuja kuokolewa macho yote yakawa hayaoni tena) nimekuwa nikimsoma siku zote na tabiri zake. Miaka zaidi ya 300 iliyopita alisema "Katika mwaka 2011, naona ndege wawili wa chuma wakigonga minara miwili katika nchi ya msituni" nchibya msituni ni nchi ya raisi "Bush"

Hapa anasema mwaka huu 2023 Alien watavamia dunia na ya pili watoto watazalishwa maabara. Tumeona hii ya maabara tayari.
 
What's the difference? Enlighten me brother.
 
What's the difference? Enlighten me brother.
Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.

Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.

Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi.

Hao ni Futurist..
Lakini Seer ni watu kama akina shehe yahaya.

So Nostradame was merely a Seer not a Futurist
 
Hasante kwa Elimu
 
Na biblia imo?
 
Crypto haiwezi kutawala dunia... tena inaenda kufa soon... Marekani hawezi kuruhusu Crypto itawale maana hiyo itasababisha Dollar ianguke.. na Dollar ikianguka hatuna taifa la Marekani

Fuatilia issue ya FTX utaelewa ninachosema
Bankman huyo kawa fuckman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…