Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

Matukio yote aliyatabiri miaka hiyo ya 1500 yameandikwa kwenye kitabu chake. Alitabiri akaenda mbele mpaka miaka ya sasa tunayoishi sisi na mwaka 2023 ndio aliona mambo hayo. Na mwisho wa dunia alionesha itakuwa mwaka 5050.
Uongo khaaa 5050 hivi unamchukuliaje Mungu we hamna ajuaye saa Wala (siku,wiki,mwezi,mwaka) isipokuwa Mungu tu aaah asee mnashikisha watu masikio kweli
 
Uongo khaaa 5050 hivi unamchukuliaje Mungu we hamna ajuaye saa Wala (siku,wiki,mwezi,mwaka) isipokuwa Mungu tu aaah asee mnashikisha watu masikio kweli

Vip hayo aliyotabili na yametokea mkuu
 
Huyu jamaa alikuwa na undugu na malaika nini?🤔
 
Prince Harry atamrithi King Charles kwa utaratibu upi? acheni fix...
Mengi ameongeza
Niliposoma fix hiyo nikaacha kuendelea kusoma maana nikaona mwisho atasema alitabiri ujio wa magufuli

Yaani mwaka 1500 alikuwa anajua na Jina la Charles na Harry [emoji1] [emoji1787]
 
Kuna jamaa aliyetabiri kuhusu kifo cha malkia logan smith alikuwa anatabiri mengi sana yanatokea ila aligusa moto alipotabiri kifo cha malkia mpaka Tarehe washkaji wa UK governmebt walimfnya mbaya...
Sometimes watu tabiri wanazo ika wanaogopa kuzitoa na ametabiri pia king charles atakufa March 28,2026


Hapa twitter yake ikawa under UK gov survailance hahaha utabiri lazma uwe undee cover sio ujionyeshe tu
 
Mengi ameongeza
Niliposoma fix hiyo nikaacha kuendelea kusoma maana nikaona mwisho atasema alitabiri ujio wa magufuli

Yaani mwaka 1500 alikuwa anajua na Jina la Charles na Harry [emoji1] [emoji1787]
Mwaka 2026 march 26 king charles chalii
 

Sidhani kama yote hayo ni kweli alitabiri. Ni upuuzi tu uliozoeleka mitandaoni ambapo watu maarufu wanasingiziwa mambo kwa kuwapachikia. Hakuna mtu anayeweza kutabiri vitu exact namna hiyo. Hata upuuzi unaoitwaga utabiri wa kwenye vitabu kama Biblia na Quran hauko exact. Ni maneno ya jumla jumla tu ambayo mtu anaweza kuyapa maana ile anayotaka ili kutetea imani yake.

Kama una ushahidi wa vitabu vya Nostradamus basi vitaje kwamba ni kitabu gani, cha mwaka gani, ukurasa wa ngapi ameandika kila utabiri unaousema.
 
Mkuu nenepesha uelewa wako kwa kusoma.
Nostradamus aliandika vitabu si chini ya 32.
Unaweza kuvinunua mtandaoni.
 

Attachments

  • 2624dbe64459e6f7b065ca4bfb6d197c61281f7e.jpg
    6.2 KB · Views: 7
Sio kama anatabiri hivyo vitu vinapangwawas na wao wenyewe alaf yeye ndio baadae anajifanya kama anatabiri lakini wanakuwa wameshaunda jins mipangilio yao wanavyotaka iwe
Facts! Matukio yote yalishapangwa na TPTB sijui ndo illuminati..
Inawezekana world war 3 ikawepo au;
Alien invasion
Baa la njaa duniani
Cashless countries
Giant invasion( yale majitu ya zamani kwenye biblia wazungu bado wanayafuga)
Climatic problems
Corona nyingine and lockdown
Na hamna kitu tutafanya maana walishaviandaa siku nyingi... hadi kufika 2030 tutaona mengi.
 
Mkuu nenepesha uelewa wako kwa kusoma.
Nostradamus aliandika vitabu si chini ya 32.
Unaweza kuvinunua mtandaoni.
View attachment 2465685View attachment 2465686View attachment 2465686
Kujua idadi na majina ya vitabu alivyoandika mtu yeyote sio shida. Hiyo ni kazi ndogo kwa gugo.

Nilichoomba ni hayo uliyoyasema. Yaani ili uweze kusema hayo uliyoyasema inatakiwa uwe umesoma vitabu vya Nostradamus. Na kama umesoma vitabu vyake, maana yake unavyo. Hivyo hakutakuwa na ugumu kupiga picha na kuonesha exactly ni wapi alipoandika yote hayo.

Sio kusema "Nostradamus aliandika vitabu 32" na kuturuhia makava ya vitabu hivyo.
 
Huyu mwamba angekwepo angempiga sana mhindi maana vichapo vya spurz na psg vilikua na odds mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…