Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Hakuna haja ya kumtafutia kazi, zile kesi zake ziskilizwe na ahukumiwe
Hakika.
JamiiForums-1874524951_428x320.jpg
 
ccm inaogopa kuanguka,ikianguka inajua haitainuka tena,wasikate tamaa wajifunze kwa mcp ya malawi imerudi madarakani
 
Watanzania tujitokeze kwa wingi tukamuadhibu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
 
Wewe endelea kujifariji tuu..Kesho Magufuli anaenda kushinda kwa KISHINDO.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom