Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Huo uharamia wa CCM kuwaengua wagombea wa vyama vingine, nao umechangia kuongeza hasira za wananchi dhidi ya mgombea wa CCM.View attachment 1597557
POLE SANA Kaka TUNDU kwa maumivu ya watu wasiojulikana-Mwenyezi Mungu akuponye na kukuinda
CCM itashinda
Kwasababu;
Mikoa ya Kanda ya ziwa pekee ina kura millioni 8 na Mkoa wa Arusha wenye Kura milion 1.5 CCM itachukua 90 with exception of Karatu na Arusha Mjini; Mikoa ya Morogoro na Dodoma yenye kura 2.5 milioni, 90% zitakwenda kwa CCM, Mikoa ya Sumbawanga,Katavi na Tabora zenye Kura 3.2 millioni, 85% ya kura hizo ni CCM;
Kwa facts hizi na kwa kuzingatia Numbers don't lie, CCM inashindwaje wakati bado inaungwa Mkono na inakubalika kwa wananchi? Ni maoni yangu kuwa NEC ikiwa imara kabias, bold na ikawa very transparency, CCM itashinda mchana kweupe na kila mtu atakubaliana na ushindi huo;
Wabunge 20 wa CCM wameshapita kwenye majimbo yenye karibia kura milion 2; sasa unawezaje kuwaza tu kuhusu kushinda kwa watu ambao hawana hata Kata 1 waliyoshinda huku CCM ikiwa na Kata zaidi ya 800 imepita bila kupingwa mathalani Misungwi Kata 20, Ngorongoro Kata 24, Singida Mjini Kata 5, Mlimba Kata 6 nk
Sent using Jamii Forums mobile app