Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nani mwingine amepata hii SMS ???
Ndiyo hapo sasa, naona wanatishia wananchi wakiweka picha na video za ushahidi mtandaoni watakamatwa 😫🤬 .Walisema hakuna vifo, tena walikwenda mbali wakijitapa kuwa kama ni kweli toeni ushahidi wa palisi wakiua raia. Sasa hivi wamebadili gia baada ya kuona unyama wao umewekwa bayana.
Ni mambo ya kushangaza na kuogopesha sana, hatuwezi kuendelea hiviHii inchi imekuwa ya kishetani
Kweli mama mchungaji! Na mie nimepata hiyo sms. Kweli picha zahuzinisha sana. Nimefuta kabisa kwangu
Sasa tutafanyaje binti wa leo na ndio tumeshazidiwa hivyo 🙆Ni mambo ya kushangaza na kuogopesha sana, hatuwezi kuendelea hivi
Nafurahi kukuona baba mchungaji, hujakufa 🫂Kweli mama mchungaji! Na mie nimepata hiyo sms. Kweli picha zahuzinisha sana. Nimefuta kabisa kwangu
Hata sijui tutafanyaje, mimi pia sina mawazo mapyaSasa tutafanyaje binti wa leo na ndio tumeshazidiwa hivyo 🙆
Mama mchungaji, nashukuru Bwana Yesu kakutunza na mie kanitunza. Sasa siasa tuweke pembeni, tujenge nchi yetu 😍Nafurahi kukuona baba mchungaji, hujakufa 🫂
Mimi hata sitaki kuziona tena maana nimeona chache tu na jana usiku sijaweza kulala.Kiufupi bila vpn wewe unayetuma na wewe unayetumiwa usithubutu
Too late zimeshasambaa, na uovu wa kiwango hiki huwezi kuufichaMimi pia, ila sasa mzigo mxima upo AL JAZEERA
Njoo huku kwangu utalala bila mawazo Binti wa zamaniMimi hata sitaki kuziona tena maana nimeona chache tu na jana usiku sijaweza kulala.
Nikifumba macho naona damu za watu waliopigwa kichwani 😭 !
Kikubwa wananchi wamejitoa kwa jasho,damu na uhai..Sasa ni kusubiri sheria na Legitimacy tu ndio kete iliyobaki.Hata sijui tutafanyaje, mimi pia sina mawazo mapya